Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Putin ameingiza nchi yake mashakani. Pesa ya Russia inaitwa rubles. Kabla ya vita kuanza, 1 USD ilikuwa equal to 80 rubles. Leo hii baada ya wiki mbili ya sanctions, 1 USD is equal to 160 rubles. Yaani sarafu ya Russia imepoteza thamani sana na thamani ya dollar imedouble chini ya wiki mbili.
Hii ni sawia na leo tunajua 1 USD= 2,300 TZ shs halafu baada ya wiki mbili ukute 1 USD=4,600 TZ shs.
 
Tatizo lako wewe huwa una hasira sn, ss ww chokoraa wa mathare una nguvu gn ya kuiita Russia poor, hasira hasara chokoraa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni sawa lakini hii ma cable mimi sizipendi. Cable ikikatika hio ni kifo hakika.
 
Tatizo lako wewe huwa una hasira sn, ss ww chokoraa wa mathare una nguvu gn ya kuiita Russia poor, hasira hasara chokoraa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia kama hujui bado ni developing country. Sio matusi wala kuidharau Russia, ni facts tu. Hata Uchina pamoja na mbwembwe zake zote na miji mizuri ya kupendeza bado ni developing country. Na sio kwamba tumeikosea Russia au Uchina heshima, ni facts tu tunazungumza hapa kwa unyenyekevu. Nchi ambazo bado ni middle income kama Uchina na Russia haziwezi kuitwa developed.
 
Vigezo vyao vya kipumbavu, kwa mfano tumeona humu ndani hakuna kitu kipo USA kikakosa kuwepo China ila kuna vitu vipo China huwezi kuvikuta USA, utaniambia habari za per capita, yn pesa za watu wengine ukapigie hesabu watu wengine, yn pesa za Bakhresa ukawapigie hesabu watz wote c upumbavu huo
 
Ni kweli ni upumbavu lakini per capita ndicho kigezo kinachotumika kwa sasa kubaini mbivu na mbichi. Natumai siku moja kigezo kingine kitavumbuliwa ambacho kitasuluhisha mapungufu ya Gni per capita uliyoyataja.
 
Reuters mzee..
American Moderna. corona vaccine manufacturing plant to be built in kenya. the only vaccination facility in africa

 
Hata USA akipeleka jeshi kusaidia Ukraine bado hawawezi kushinda hii vita
Fuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.
 
Hata USA akipeleka jeshi kusaidia Ukraine bado hawawezi kushinda hii vita
but the US will never get involved in any war that russia is fighting and vice versa. kisa, its a stalemate.!! they both fear each other, they both possess the same number of nuclear warheads.. if they decide to fight.! non of them will win, they'll both loose dearly. (there's no winner in any exchange of atomic bombs 💣💣💣💣..💥 ) not only will both loose.. but the entire world will loose dearly
 
Fuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.
Kwa yeyote anayetaka kufuatilia vita hii kwenye twitter. Kuna twitter sites hizi ambazo ziko sawa kwenye kufuatilia vita vya Ukraine kwa yeyote anayependa kufuatilia haya mambo.
1. OSINTtechnical
2. Visegrad 24
3.Illia Ponomarenko
4. Rob Lee.
5. Nexta
6. Ukraine weapons tracker.
 
Nimewa follow wa nne hapo Osin na rob lee napenda Rob anavypanga tweets zake
 
Nimewa follow wa nne hapo Osin na rob lee napenda Rob anavypanga tweets zake
Hahaha. Kumbe siko pekee yangu. Wow. Mimi huwa nawafuatilia sana. Yaani unapata step by step dose ya jinsi vita inavyoendelea.
 
Aisee!
 
Wewe pia uheshimu gdp kama mimi ninavyoiheshimu. Wewe una mazoea ya kupuuza gdp na kusema kwamba gdp ya IMF ni ya kupuuzwa. Mbona mimi nimeona Durban ina gdp kubwa kushinda Nairobi na nimekubali mara moja?
Ili uheshimike na GDP yenu lazima muhakikishe i na reflect kwa ground...siumeona ulivyo uhanya mji ya tatu SA, kwasababu kuna reality kwa ground...ila hatuwez kurespect ata Nigeria kutokana na ilivyo ya hovyo kwa ground
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…