The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
waache waendelee kushangaa shangaa watz,Hii ni habari mbaya sana kwa wakunya [emoji23][emoji23], yani Fred anakula dili ya kutengeneza nguo za police wa hawa mungiki.? Tony254 njoo uku
Waache waendelee kuji compare na Durban. 😂😂😂waache waendelee kushangaa shangaa watz,
wakidhania kuwa miaka inaganda
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Nimewahi kuwaambia hawawezani hata na Pretoria sembuse Darbun hapo level ya mbele saana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah jamaa kwakupenda kujipa moyo nyinyi, to be honest there's no city in Africa which is comparable to South African ton 5 cities, nnachokiona hapo NAIROBI ni cheap buildings and mostly mud roads .. heb ona hii ni Durban SA [emoji116]View attachment 2141316View attachment 2141317View attachment 2141318View attachment 2141320View attachment 2141322View attachment 2141323View attachment 2141324View attachment 2141325View attachment 2141326View attachment 2141327Is Nairobi even close to this .?
Vipi bado upo hai?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi is better than Durban. And I don't even see any skyline to rival Nairobi's.
True. By the way FYI, hii pipeline ya Nordstream 2 ni ya pili. Kuna pipeline mzee yenye inatoka Russia inapitia Ukraine na inaishia Germany. Hio pipeline bado inafanya kazi kwa hivyo Nordstream 2 ni useless for now. Ndio maana Germany wamesema hawataitumia. Also Germany wamesema wanaanza kujenga two gas terminals so that they can buy gas directly from other producers like Qatar so that they can stop relying on Russian gas. Also Germany has imposed all the sanctions that EU has imposed on Russia. Germany sio mpole for now. Hakuna sanction wamekosa kuimpose. Walikuwa reluctant kuimpose sanctions before the war but after the war wamekuwa wakali sana. In fact Germany ilikuwa inakataa kuinvest kwa military yao saa hii wamekubali kuspend at least 2% of their Gdp on their military. Hii war imechange foreign policy ya Germany kabisa.German haijaweka vikwazo sababu kuna bomba la gesi kutoka Russia hadi Germany, Bomba hilo linachangia 40% ya matumizi ya gesi ya Germany, kwahivyo Germany haina budi ila kuwa mpole, Si kwasababu eti inaogopa majeshi ya Russia.... Kumbuka Germany ilitingisha dunia nzima waakati wa Hitler na kwa sasa uchumi wao ni mara tatu wa Russia.... Na isitoshe Germany iko ndani ya NATO kwahivyo hawaezi tishiwa hivi hivi na mtu yoyote. Kama ka nchi kama Poland kanasema kako tayari kupeana ndege zake za kivita zitumiwe na ukraine, Poland nchi ambayo haiko ata top 100 kijeshi, lakini vile wako chini ya NATO ndo inajua Russia hawezi tubuthu kuivamia labda awe ako tayari kutumia nuclear
Ka Nairobi kamebakwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi is better than Durban. And I don't even see any skyline to rival Nairobi's.
Sama boy 255 na The best 007 nilikuwa nakula lunch. Wacha sasa nakuja na mapigo. Mtatoroka.Moses Mabhida stadium, Durban city SA, watakuja waseme mbona mnapost picha za SA, jamaa wasahaulifu, watakuwa washasaau kwamba walitaka battle ya Deben, hii Durban city iko mbele karne 70 mbele kwa vimji vya kishamba shamba vya kiafrika.View attachment 2142067View attachment 2142068
Iyo Lexus kibokoHio ya Kilimani kama uswazi kwetu tu
View attachment 2141413
Kila kitu tuanze na kipiDurban inashinda Nairobi na nini?
Hii battle inachekesha sana 😂😂😂, kulinganisha world class Cities na third world countries ni dhihakaKa Nairobi kamebakwa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2142074View attachment 2142077View attachment 2142078
Sasa huoni aibu maana Durban ni city no 3 kwa Sa kwa wanawapumulia namna iyo...nna uhakika kwenye miundombinu ndio mko zero kabisa
Hivi ni viwango vya dunia kabisaMoses Mabhida stadium, Durban city SA, watakuja waseme mbona mnapost picha za SA, jamaa wasahaulifu, watakuwa washasaau kwamba walitaka battle ya Deben, hii Durban city iko mbele karne 70 mbele kwa vimji vya kishamba shamba vya kiafrika.View attachment 2142067View attachment 2142068
Kumbe nyinyi pia mna park? Hio park kwenye picha ya kwanza inaitwaje?
Naona Kabul, Afghanistanallow me to task you pipo with 1 assignment today.. hebu funga macho sahii na u imagin dar bila bldng tatu za blue... coz what will come to your mind will realy suprise you...
...in your vision, you'll be able to see either mogadishu, kismayu or kabul
ona.. hii hapa [emoji1427]
View attachment 2141885
Nairobi ina population ya 5 million. Hapo tayari Nairobi imeshaipiga Durban.Unajua kwamba Durban iko na population 3.1 m.?
ichoboy01 na Geza Ulole punguzeni wivu. Wakenya lazima wanamiliki angalau nusu ya hio 25%.na hio 25% most of them ni foreigners 🤣