Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nani anamiliki safaricom?? au hujui kuna investors hapo wanatengeneza pesa kama wendawazimu ndio maana hamuna hata ushindani kwenye telecommunication sector๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Data zinaonesha Tanzania ina wanafunzi 400 Ukraine, wengine wako wapi?

Maria ุฏูˆุจูˆููŠูƒูˆูุง Dubovikova (@politblogme) Tweeted:
... 45 - of Jordan, 16 - of Pakistan, 15 - of Tunisia and 14 - of Zambia in Sumy.
Muulize mpiga mabomu Putin na Mashabiki wake ccm government.
 
zwazwa amekasirika baada ya kuskia safaricom umiliki ni huu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
nye nye nye kelele nyingi wakat investors wa nje wanapiga pesa wanakimbiza kwao
 
Usiichukulie Russia poa ni taifa lenye nguvu ya kijeshi,muulize German hata vikwazo yeye hajamwekea,nani azuie bidhaa zake ovyo ovyo.
German haijaweka vikwazo sababu kuna bomba la gesi kutoka Russia hadi Germany, Bomba hilo linachangia 40% ya matumizi ya gesi ya Germany, kwahivyo Germany haina budi ila kuwa mpole, Si kwasababu eti inaogopa majeshi ya Russia.... Kumbuka Germany ilitingisha dunia nzima waakati wa Hitler na kwa sasa uchumi wao ni mara tatu wa Russia.... Na isitoshe Germany iko ndani ya NATO kwahivyo hawaezi tishiwa hivi hivi na mtu yoyote. Kama ka nchi kama Poland kanasema kako tayari kupeana ndege zake za kivita zitumiwe na ukraine, Poland nchi ambayo haiko ata top 100 kijeshi, lakini vile wako chini ya NATO ndo inajua Russia hawezi tubuthu kuivamia labda awe ako tayari kutumia nuclear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ