Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa umeigusa Kenya "by 90%. Kenya Hutumiwa na wazungu kuivuruga Afrika. Kipindi cha ukombozi kusini mwa Afrika, Kenya ilitumiwa na wazungu kuwakandamiza waafrika.
 
KANAIRO hebu ntoo uone hii [emoji15] [emoji15].. hii ni kingereza ya huyu jamaa kweli.!? ama ame copy na ku paste humu, sababu tangu jadi, najuanga huyu jamaa hajui kingereza
Kwahiyo asipojua kiingereza wewe unawashwa katika makalio kwa sababu hiyo ndio lugha ya mabwana zenu?, Failed state and slave mentality"
 
Hapa umeigusa Kenya "by 90%. Kenya Hutumia na wazungu kuivuruga Afrika. Kipindi cha ukombozi kusini mwa Afrika, Kenya ilitumiwa na wazungu kuwakandamiza waafrika.
na bado itaendelea kutumiwa milele sababu hawajitambui,

siumeona unreasonable ya Tony ya kulamba miguu wazungu ili upate kitu ,yaani unreasonable yake imebeba picha halisi ya wakenya wote kuwa 98% ya wakenya ndiyo wapo hivyo kuanzia viongozi wa kiserikali mpaka wananchi wakawaida..

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hio nuclear weapon Russia anayo Peke yake? Kwamba yeye kuwa na warhead 7,000 hizo 6,800 za USA haziwezi kumletea madhara? Anaweza kuichakaza Ukraine na bado akawa ameshindwa hio vita. Acha muda utatuambia.
 
Hivi hio nuclear weapon Russia anayo Peke yake? Kwamba yeye kuwa na warhead 7,000 hizo 6,800 za USA haziwezi kumletea madhara? Anaweza kuichakaza Ukraine na bado akawa ameshindwa hio vita. Acha muda utatuambia.
Tatizo lililopo in the last 20 years the West i.e. NATO members economic systems have increasingly been heavily dependent n deeper entrenched on Russian resources i.e. economy completely aligned to Russia Federation to an extent of Putin now calling the shots.

Therefore they look at this crisis in the eyes of war beyond Ukraine n it's consequences i.e. colossal losses as the least they will get in the aftermath of huge economic destruction is China's coronation as unchallenged global economical super power!

FYI They will be no more EU if war is to start with NATO involvement. For them they will rather let Ukraine be occupied. Let Ukrainians understand that n stop being to hopefully! The other thing is a mistrust between the US n the UK in one hand n the EU in the other hand. Believe me the US n her crime partner the UK r silently anti-EU.

What to be further noticed; even the UK with her own reserves is not an exception from european addiction to Russia's resources.


 
once again we kenyans do pray for the better 🧎‍[emoji3603]🧎‍[emoji3601]
View attachment 2140568
Kabla ya kuchukua maamuzi katika ngazi za kimataifa, ni vizuri viongozi wa Kenya kuomba ushauri toka Tanzania, kwasababu Kenya hamko vizuri katika kufikia maamuzi ya busara, hili ni tatizo la Kenya kuanzia rais wenu wa kwanza, bado linaendelea hadi Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…