NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,284
- 19,628
Haya, tuonyeshe access roads hapo Masaki - your crème de la crème estate - tuone sidewalks ama hata kama kuna lami.😃😃
juakali style sidewalk on the the left flank is nowhere to be seen! Mumbi has chopped the money!
Hehe. Hawa vichwa maji achana tu nao.🤣🤣lakini wamesema worst than zimbabwe only, and not tanzania or any other country... note; even england is poorer than germany. alafu.!?
Setikali yenu si ndio inawakilisha mawazo yenu au hamkuchagua representativesSerikali yetu ndio inayofanya maamuzi hayo. Sasa sisi wananchi wa kawaida unatulaumu pia?
Huyu Rais wa Ukraine akienda Belarus harudi, watamkamata!Ukiona wapenzi wakigombana usiingilie, Kenya wajifunze
Haendi yeye, anatuma mwakilishiHuyu Rais wa Ukraine akienda Belarus harudi, watamkamata!
Mbona unaongea kama MTU hajaenda shule hehe GDP ya mchongo kivipi? So unaiita ya mchongo sababu Tanzania imeshindwa kuwa Na GDP nzuri au?Ni kweli kabisa GDP yenu ni ya michongo ila tumeshaistukia, lkn wakenya wenzako wengi wanabisha ila wewe unalijua Hilo.
Ya mchongo kwasababu mpk ss mnashindwa kujilisha, yn Sudan wako vzr kuwaliko.Mbona unaongea kama MTU hajaenda shule hehe GDP ya mchongo kivipi? So unaiita ya mchongo sababu Tanzania imeshindwa kuwa Na GDP nzuri au?
Kwa mujibu wa hizi taarifa, kuna wanafunzi wengi sana wa kitanzania UkraineKumbe watz wanaosoma ukraine wapo maelfu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
benz za awali au sio haya nioneshe ufunguo za benz za kisasa kenge wewe🤣🤣🤣 wivu unakusumbua na roho mbaya hio smart key fala weweSasa waendesha funguo au gari. Kumbe we ni dereva wa boss yako mchina. Ufunguo umekula chumvi...zile Benz za awali. Hongera lakini..we ni mjenga taifa si kama wengine wapiga kelele tu.
Mmh africa kubwaa
Hata mie nimeshangaa!
Hizo map zilizokuwa distorted kusini na kaskazini (Mercator projection) ni tekinolojia ya zamani, kwaajili ya navigation baharini. Sababu ya kutumika nje ya navigation kwakweli sielewi, labda ni kutu-program kisaikoloji watu tunaotoka kati ya hizi tropiki kuonekana wadogo.Ndio sasa tuelewe hila za wazungu dhidi ya Africa, siku nyingi nimekua nikisikia namna walivyofeki ramani ya dunia ili Africa ionekane ni ndogo
Kumbe watz wanaosoma ukraine wapo maelfu
Kwa mujibu wa hizi taarifa, kuna wanafunzi wengi sana wa kitanzania Ukraine
Ebana eeh nataman kujua hiyo itakua ni miradi gani