Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amen
👍🏽👍🏽 ILINIBIDI NIME REFORM MAZE. SIKUA NA JINSI. YANI NILIKUA KAMA CHIZI HUMU. NAKUMBUKA UKISEMA ETI KUMBE MIMI NI WALE WAITWAGWA 'FUNNY' 😆
AROO... SASA UKO TUMETOKAMO..
 
Nmetumia lumion 5 pia na ukweli ilihemesha machine yangu sana HP CORE i7 4gb RAM 2gb nvidia. Atlantis sijuwahi tumia. ArchiCAD zote nko poa pia.
Naonelea nirudie hizi kazi bana. Architecture [emoji7]
 
2.5M, kwa city ya 4M people. Yani Hadi watoto wadogo huko Tandale wana magari. Yani jamaa anatuambia car ownership yao iko juu kushinda UK.🤣🤣🤣
Kuna idadi kubwa sana ya watu wanao miliki magari zaidi matatu Tanzania na Dsm ndio usiseme kama ilivyo kwa Per Capita GDP ndivyo hata kwenye magari not necessary kua kila mtu ana miliki gari.But in my Opinion Africa haipaswi kusifiwa kwa magari ya kuagizwa tujisifu kwa vitu vinavyosaidia kupunguza utegemezi wa nje ya Africa
 
Sijasema kwamba hawajapigwa, ila nachosema ni kwamba kulingana na kinachoenda kupita hapo inamake sense ikiwa kubwa kuliko Tanzanite ingawa sio kufikia hata 1.5x. Kuna document nlisomaga kipindi cha nyuma ikielezea curved lintel beam ni strong kuliko ambayo ipo straight or rcatngular amabapo kwenye Kazingula ndio wametumia hiyo curved ilhali Tanzanite wameweka rectangular
 
zilete hapa! Sasa ni hivi structure za salt water huwa inabidi ziwe imara zaidi kuepukana na erosion by chloride! Still argument yako haina mashiko! BTW nimekuambia unless kuna restriction ya uzito tanzanite bridge then kusema sijui curved beams za kazungula bridge zipo imara kwa vile zinachukua uzito zaidi ya Tanzanite bridge ni upotoshaji! BTW sioni tofauti ya beams za madaraja haya mawili!

Pitia hizi links




 
Mimi sio mtaalamu wa civil ila kama yupo humu atueleze maana nachojua curved sijui circular lintel ni imara kuliko rectangular iliyotumika kwenye tanzanite. Ukiachilia mbali lintel beams pia mlishajiuliza kwanini Kazingula limepinda, why lisiwe straight, kuna obstacle gani?
 
Ilikua zamani sana labda ni google sources zingine, pia maeneo yanatofautiana. kuna maeneo yanatitia kuliko surface ya bahari especially mito yenye tope
 
kaka nyamaza basi kama hujui hizi field za watu na tunaposema jamaa wamepigwa tunamaanisha na tumetoa comparison fair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…