Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako uwa hutumii akili,hapa bongo mtu mmoja anaweza kuwa na magari ata 100 kwa sababu watu wanamiliki pesa na uwa hawajigambi,ndio maana ata kwa hapa EA nchi yenye matajiri wakubwa ni bongo na sio vinginevyo
Nyang'au wengi bado wana mawazo ya miaka ya sitini.
 
Magari ni machache sana Tz na karibia nusu au zaidi yapo Dar peke yake..
 
Naomba hii picha itunzwe kwa matumizi ya baadae, japo ni ya zamani sn 2012[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha maneno bana ww,New bagamoyo road lazima iwe na magari mengi kwasababu middle class ni wengi kuliko maeneno mengine ya jiji. Minds you ukitoka Dar huko mikoani magari ni machache sana close ni negligible
every country has traffic jam......The dilapidated ugly road has caused the gridlock. America doesn't have traffic jams but has atleast 500 million units
 
Dah jamaa tumewapiga gape kubwa kwenye suala Zima la ku save, ndugu yao Rwanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
saving means nothing.......Tumia pesa ikuzoee.....as usual a coward will save instead of using his brain to invest
 
Tuanzie hapa hapa kwenye huu uzi tuone ni watz wangapi wanamiliki gari na wakunya wangapi wanamiliki gari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
saving means nothing.......Tumia pesa ikuzoee.....as usual a coward will save instead of using his brain to invest
So nyie mko vzr kuliko UK mana nyie mnatumia tu ham save au co? Na nani alikuambia kuna maskini anaye save[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ujinga wako kawapelekee wajinga wenzio
 
Unaidharau Tanzania mpka inachekesha...
Nani kakuambia kuna mkunya anayeidharau Tz? Bakora tulizowapiga wamejuta kutufaham, kilichobaki now ni hofu imewajaa, alafu cc watz wengi ndiyo tunaidharau Kenya cz tunajua inanuka njaa na ma slums everywhere.
 
Jaribu kufanya uchunguzi Kati ya Uganda na Tanzania wapi Kuna chuma kingi ardhin. Jambo lingine ni kwamba uvunaji wa chuma, gasi na mafuta unafanywa na wawekezaji, sio serikali, kwahiyo mara nyingi serikali haina mamlaka ya kudhibiti Kasi ya uwekezaji.
 
Hao wawekezaji kwa nini hawaji Tzn? Sasa kama Uganda ndio Wana deposits nyingi inakuaje Tzn yenye deposits kiduchu inajivuta vuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…