The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Dili gani wewe,mbona unahangaika sana na JK,hilo dili lilokuwepo awamu yake akapoteza?Imagine Kikwete alipoteza hili dili kwa wakunya,
Kongole kwa JPM kwa kunyakua hii dili midomoni mwa wakunya,
Kunyans will always hate JPM for this.
The consequence of Wakunya using 0% of their brains before they talk!from tuonyesheni km 1 ya reli mliojenga, to tuonyeshi km 100 mliojenga, to tuonyeshi electrical catenary hata moja, to tuonyeshi kipande cha kwenda bandarin, to tuonyeshi train zinatakazo kuja, to kwa umeme upi huo mtaendesha train, saiz mpo suala la nauli/fare! mko sawa kweli majiran? lin mtakubali reli yenu mlipigwa, lin mtakubali reli yetu ni bora? lin mtakubali bila kuongeza excuse yoyote nyingine?
Wapi zinapokea token without manual dialing?Hata hizo smart meters huku zipo tangu last year. Yani unajaribu pa kuondokea Ila naziba mapengo yote.🤣🤣
Kwa barabara zipi?Na mbona kwa list ya best roads in Afrika hamuonekani mahali💩Kenya is 20yrs infront of you!
sahii we have 30 000km tarmacked.....at almost 30%
Mnazo kama hizo?
I like how you are forcing what's non existing.....that's why you are posting some blurred random photo with stupid machinations....You know what....I know this reverse psychology.......You have no single interchange outside Dar while kisumu city has 6 interchanges.....your village like cities like dodoma still being rescued with your feeble government funds to atleast make it look like some town.
Mimi nilipohitimu o-level 2009 nilisajili M-Pesa kwenye line yangu na december 2009 nlienda Moshi kuhesabiwa na nikawithdraw kwa M-Pesa2009 MPESA haikuwa active Tanzania verge wewe. Utaachaje kitu hujawai kuwa nacho? You launched in 2008, it couldn't attract customers until Vodacom made strategy changes in 2010.
sahii we have 30 000km tarmacked.....at almost 30%
now tingishia matako Mbuyu Putin mpaka yalie pa-ta-pa-ta-pa-ta...!atleast kenya has some influence in the international matters. tanganyika has what.!?? nothing.! maana ingine ya gdp kubwa
View attachment 2132040
Utazani pembezoni mwa dar wakati wa mafuriko uwo wekundu kama maji ya mafuriko[emoji1787]Mwengine anakuambia huu mji unazidi Dar, ukimuambia unazidi vipi anakuletea vumbi, wallahi watz wengi tulikuwa na mawazo ya kimbwa sn mpk pale tulipokuja kuamshwa usingizini, ona vumbi hili ambalo baadhi ya watz wenye mawazo ya kimbwa wanakuambia vumbi hili linazidi Dar[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2131546
Huyo ni zero brain mzee!
Kwani ujui kuwa wazungu na waasia wanakula africa kwa kutuingiza kwenye MIRADI ISIYO NA TIJA AU UMUHIMU SASA CHEKI IYO INTERCHANGE YA GHANA NI INSIGNIFICANThapa kidogo waGhana walichezwo, eti hii pukwase interchange ili gharimu dalla $1b ilhali nairobi expressway dalla $0.6b
yani hiiView attachment 2131637
vs hii
View attachment 2131638
and note; nbi xpresswy ina stretch 27km, pukwase 1km only.!? [emoji848]
Yuko mmoja tuu ukanda huu wa EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The consequence of Wakunya using 0% of their brains before they talk!
Ni neighbor gani huyo anatumia "diesel clunkers"? Mimi nataka nimjue tu...!
Hahhaa umenikumbusha ule uzi niliofungua kua hawa majirani wanawasiwasi na huo mradi kuliko hata yepi merkez waliopewa tender [emoji16][emoji16]from tuonyesheni km 1 ya reli mliojenga, to tuonyeshi km 100 mliojenga, to tuonyeshi electrical catenary hata moja, to tuonyeshi kipande cha kwenda bandarin, to tuonyeshi train zinatakazo kuja, to kwa umeme upi huo mtaendesha train, saiz mpo suala la nauli/fare! mko sawa kweli majiran? lin mtakubali reli yenu mlipigwa, lin mtakubali reli yetu ni bora? lin mtakubali bila kuongeza excuse yoyote nyingine?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo road inayokwetua magari imeniacha hoiWhich roads hizi za tope? sikiiza Mkunya mwenzio toka Nyandarua!
Hizi?
Au hizi za vidimbwi?
Thika super Highway hiyo.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo road inayokwetua magari imeniacha hoi