Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu kuwa na akili kaka,hapa East and central Africa hakuna stadium imekaa sexy kama hapa 👇👇
Kenya itawachukua miaka mingi sana labda mkakope tena au mumpigie magoti mchina aweze kuwasaidia





 
Uwe unaacha matusi yasiyo na maana, unaonyesha udhaifu kwa hilo. Na si wewe tu yeyote anayetukana matusi hafai kuchangia mada
 
Moderm stadium umesahau[emoji1]
 
Wakenya kumbe mna uzalendo sn yn licha ya kuona kitu umeshindwa vby lkn bado unapambana na Kasarani yako iliyochoka a.k.a stadium ya WWI (first world war)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila watz mik.un.du kazi yao ni kuponda nchi yao na kusema bora wangezaliwa mbwa ulaya, wapo humu kumamae zao, yn ukweli wanaujua lkn ukosefu wa elimu bora unafanya wadharau Chao, hapa ndipo ninapoona ubora wa elimu ya Kenya dhidi ya elimu ya Tz, yn Tz mtu akisema tu this is.... ******* wa kayumba wanaanza kuogopa, mnaweza kuona humu ******* wanavyoikosea heshima nchi yao wazi wazi, hii inatokana na ukosefu wa elimu bora inayofanya mtu kuwa reasoning zenye akili, eti mtu anasema kabisa Ghana iko mbele ya Tz, huu c ushoga huu.
 
Daaa wazee kama hii ndo Accra ya Ghana nnayoisikiaga basi hamna kitu, sasa hii si Makumbusho tuu jamani. Nna wasiwasi na data za GDP za Tz, hawa wazee wa takwimu wanahitaji kufumuliwa.
GDP ya Tz mimi sina shaka nayo najua ni GDP kubwa kabisa hapa EA shida ilianzia kwa Mkapa mpaka JK serikali ilikuwa ina suppress GDP figures ili kuendelea kunufaika na economic agreements za USA, EU na mataifa mengine Tajiri duniani kitu ambacho kwa mtazamo wangu ni upuuzi kabisa na zilikuwa fikra mgando za viongozi wetu hata juzi kuingia LMIC si jitihada za serikali bali IMF na WB waliforce maana sisi tulishajiwekea mpaka 2025 ndio tutoboe kwenye LMIC
 
Kwann unaona kariakoo ni big deal sana[emoji16][emoji16]
Because alot of money change hands daily involving people from several east and southern african countries ( Burundi, Rwanda, RDC, Zambia, malawi, mozambique, Zimbabwe Uganda etc so it is a very big business district in the entire Eastern African region.
 
Ndio njia ya Mchina hiyo kupiga hela from sleepy African leaders. Interchange sehemu ambayo haitajiki.
 
Nimeona mtu akipost humu eti Tanzania wanazindua kununua tokens next year akiuliza Kenya tutafika link. 🤣🤣🤣
MK254 dyfre KANAIRO tuwaambie ukweli?🤣🤣

Sikujua wako nyuma hivi. Nimenunua tokens na MPESA tangu 2010.

Unanunua token na mpesa 2009? Tanzania kipindi hicho unanunua token kwenye ATM Yaani mpesa tulishatoka huko
Sasa hivi ni ukinunua token tu kwenye app yoyote tayari umeme unawaka instantly bila kuin token kwenye meter

Unaona sasa mlivyo nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…