Hizo benki zimewekeza fiat au real money?
Ni sawa leo ni code smart contract na kutengeneza coin yangu halafu watu wakawekeza. Mwakani coin hiyo ikiongezeka "thamani" (out of a thin air) nikawa na $1000million. Nitakuwa nahesabika kuwa ni bilionea, ila kiuhalisia ni utajiri wa makaratasi tuu.
Hivi kuna nchi 2022 hii haina Uber/bolt etc ? Kama unafikiri Tz hakuna hizo huduma ni dalili ya mtu asietoka ndani ya kanchi kake!Nimewatch video fulani pale youtube mtz akicompare Kenya na TZ. Naskia hamna Uber/Bolt/taxify
Anyway point ya sita will shock you
Iyo accra kitu imezid Arusha n Mwanza ni izo interchange...km ni resorces hata sisi tunazo za kutoshaaWakutuzidi
What is dodoma anyway 😄Ati Thika ni Hizi ni town Wakunya wana-compare na Dodoma, kamvua kadogo kako not reachable! kweeeli jamani gai gai gai haya ni madharau sasa kuwa na flyovers zakusombwa na maji!? wapi zile flyovers za kujengwa na tope?
CC: Tony254
Kiukweli wivu utakuua 👇Nimekueleza leta evidence yoyote hata render tu, au plan ya ujenzi. Ukikosa hio leta article ya gazeti. Yaani hio tweet pekee sio evidence na haitoshi mboga. Ukikosa vyote leta hata video.
ni jiji lina airstrip ina-operate mpaka Usiku na iko reachable mvua ikinyesha!What is dodoma anyway 😄
Mkwara wa Putini ni next level aiseeKulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Hapa wazee wa kuunganisha dot ndio wametengenzeza hii,usikute hata Putin hajaongea hivyo.Angalia kenya mnavyozingua.... Aah aah aah putin bhaanaView attachment 2129624
coconut tree ndani ya Nairobi..okNairobi bus stand🤣🤣
View attachment 2129568
Hehehe yaani Arusha ina 5 na 4 star nyingi standard zaidi ya city of Accra! Yaani...Iyo accra kitu imezid Arusha n Mwanza ni izo interchange...km ni resorces hata sisi tunazo za kutoshaa
Accra?[emoji23][emoji23]Iyo accra kitu imezid Arusha n Mwanza ni izo interchange...km ni resorces hata sisi tunazo za kutoshaa
Jiji kuu ya muungano 2021 bado ina operate airstrip? Hauoni kuna kashida mahali hapo tanganyika?ni jiji lina airstrip ina-operate mpaka Usiku na iko reachable mvua ikinyesha!
airstrip inatumika 24 hrs na inatua A220-300 hebu tuonyesha night vision facilities Kisumu airstrip!Jiji kuu ya muungano 2021 bado ina operate airstrip? Hauoni kuna kashida mahali hapo tanganyika?