Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

achana nao ,ni washamba sana hao wakenya

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
achana naye huyo,huwa hatumii akili

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii page sidhani kuna mtanganyika amefika Nairobi.....the ignorance be extremely shocking
hayo mambo tulishayajadili na watu tuliweka evidence ,kuna raia humu kila mwaka lazima tufike huko,
endelea kuwa mshamba hivyo,hapa haubishani na watu wanaojifungia ndani ya nchi yao unabishana na watembezi


pole sana masakuu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
hao wakenya ni wajinga sana,wanashundana na completely area na uncompletely area ambayo ni mapori tu,

yaani masaki ni develop area karen ni kinda

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Usiwaamini sana hawa. Wanataka vita ya 3 ya dunia. This time watapasuana wenyewe kwa wenyewe. Hakuna mwafrika ataenda kusaidia. Labda wakenya tu [emoji23]

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3047][emoji3047][emoji3047][emoji3047]
Kwanza duniani ipo out of update kwa kama vita mbili hivi vya dunia ilitakiwa tuwe vita ya 5 ya dunia ili tueshimiane
 
najua ni uongo ila nmecheka kinoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2129455
[emoji1787][emoji1787]MAKOMBORA kama 18 hivi ya russia yametuniwa kenya kwenye miundo mbinu yao ya bahari na kambi ya USA zilizopo kenya , yaani vita vya kisasa vinapiganwa hata kabla ya vita , wewe ukifungua tu kambi mwezako kesha imap kitekinolojia na missile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…