Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unexposed tanzanians who never travel outside tz think they are something while in reality they still have a long way to go
Eti mtu ako tu serious anatrash Karen! Karen of all the places!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Professions zingine co za kuzikurupukia buda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umebaki na maneno ya kwenye khanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sana, njoo na facts upinge nikuheshimu
 
Huyu minister Ni takataka tu,
Wapi proof Ni picha ya 2020!
Anajua nchi imejaa makondoo akisema anything watakubali kama watoto!
Mkuu hata sisi wakulima wa parachichi tunajua hiyo ilikua mwaka juzi na toka hapo parachichi za Tz hazikuingia SA hadi walipokaa mezani mwaka Jana 2021 na SA kukubali tena kuanza biashara .Hazikua za TZ na za Kenya pia.Kioichosabisha ni watu kuchuma parachichi zilizokua hazijakomaa.
 

Nakumbuka juzi kati hapa kuhusu mjadala wa hiki na kile cha MFV kilivyozua taharuki, nakumbuka niliwaambia tulieni, acheni mihemko kabla hamjapata full information, I still belive kwenye SGR we got the best deal. Na kwa hili Serikali ya JPM inastahili pongezi kwa kujifunza kwa makosa ya jirani zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…