Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu hapo hapo Karen kuna gated communities nyingi kubwa kushinda hicho ki-Avic na zina Nyumba several times bigger. Yaani nimecheka tu nikaachana naye. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Huyu mtu anajua size ya Karen? Mwambie kwa ukubwa Karen imeshinda Arusha yote.
Usijitie ukichaa usiokuanao bro.. ulitaka quality streets na ukaonyeshwa .. now unabidilisha gear eti nalinganisha gated community na kamji kadogo chenye kapo na poor roads ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, we ni tahira sana
 
Iko na quality roads.? au Unatafuta Arial view tu kuficha upuuzi.? Masaki is better than this overrated ๐Ÿšฎ .. mitaa yake ipo hivi ๐Ÿ‘‡View attachment 2126373View attachment 2126374View attachment 2126375

View attachment 2126376
Overrated? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Siku masaki yenu itafika hii level njoo tuongee.


Karen inacheza ligi moja na mitaa tajika duniani.
 
Hako ka mama ka Chadomo huwa kama payuka tuu hovyo.

Siasa ya Tzn inategemea msimamo wa aliyeshika kijiti.

Aliyedai hatupendi Ulaya kuomba tunajenga kwa pesa zetu ni matokeo ya Wazungu kuzuia pesa kwa mambo ya kisiasa ikabidi propaganda za kufariji watu zitungwe.

Kilichoitwa pesa zetu kikaishia kuwa mikopo mikubwa ya kibiashara.

Technically Tzn ni maskini bila support hatutoki,jambo la msingi sio tuu support za pesa bali support za teknolojia,fursa za biashara na elimu ndio zitatukwamua.

Watzn ni Kazi sana kuwaelewa,Saizi watamlaumu Samia kwamba anatembeza bakuli na Kukopa Sana wakati huo huo Bungeni akina Polepole wanasema tozo ya miamala ni kubwa.

Sasa unajiuliza Kodi hutaki,mikopo hutaki na misaada hutaki,sasa utaendesha vipi Nchi?

Ndio maana Samia ana Msemo wake kwamba Watu watasema kwa chochote utakachofanya,ni bora ufanye unachoona ni sahihi na bahati nzuri sio Rais wa mihemko kama Mwendazake.๐Ÿ‘‡

 
Sawa, ndio hiyo Google maps yako ukizoom. Unpaved roads tupu - your best estate. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

 
Yani mtu ako tu serious analingnisha Karen, an area measuring 56 square kilometers, na gated community the size of Greenpark in Athi River. Mibongolala kwa ubishi hawajambo
Wewe ni matako, ni wewe uliepost hii ๐Ÿ‘‡
Mwenzako aka comment huu upupu na uli like ๐Ÿ‘‡
Hii quality huwezi ipata bongo.
Na akajibiwa ๐Ÿ‘‡
Unalia nini sasa.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Magu alikuwa kipanga kivipi, enzi hizo akimaliza kidato Cha sita alipata daraja la ngapi lililomfanya akasomee diploma ya kemia ya ualimu badala ya shahada.
Nimemuuliza huyo jamaa anipe matokeo yake na mimi nimpe yangu tulinganishe.

Pili Mwendazake alisingefoji PhD Kama ni kipanga.

Takwimu za Nyerere zipo,MKapa zipo,JK zipo ila za Mwendazake ni za kuunga unga ndio maana hakuisha kujitutumua almaarufu kujimwambafy.
 

Sawa, ndio hiyo Google maps yako ukizoom. Unpaved roads tupu - your best estate. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

View attachment 2126419
Ila we jamaa unahangaika sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ google Earth inaonyesha daraja la Tanzanite bado halijaisha ujenzi while daraja tangu lianze kutumika ni mwezi sasa, hapo juu kwenye post yangu, na nikakueleza kila kitu, bado huelewi, umerogwa.?
 
Ila we jamaa unahangaika sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ google Earth inaonyesha daraja la Tanzanite bado halijaisha ujenzi while daraja tangu lianze kutumika ni mwezi sasa, hapo juu kwenye post yangu, na nikakueleza kila kitu, bado huelewi, umerogwa.?
Si ni wewe uliyeleta Google earth Mwenyewe, sasa mbona unalia? Ama kuna Google earth mara mbili?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Acha upumbavu wewe kwa barabara zipi.? Hizi au..?๐Ÿ‘‡au unamaanisha dunia ipi kwanza.? hii mitaa ipo hovyo tu kaka, usipoteze energy yako kutaka kusifia upuuzi unaonekana kwa macho .. hizo article zisikufanye uonekane mjinga..
 
Huyo kilaza amejifunga own goal ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Halafu anasema eti Tanzanite bridge haijaisha ni kama ilijengwa 1960. Yani bridge imejengwa last year, meaning the images are from last year jamaa anakataa. Hawa watu wabishi yani. Tuseme between last year and now hivyo vibarabara vyote vimeshatiwa lami?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ