Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NSSF huku wanajenga majumba mzee wala sio barabara za public kw ajili ya toll

Kwani unadhani huku nssf hawana majumba?
Halfu Huku mifuko ya hifadhi za jamii ni mingi sio NSSF tu,
Kuna PPF, PSPF, LAPF nk, mind u all of them are public funds na
Hawa ndio wamiliki 90% ya majengo yote marefu na ya kisasa Tz

Hahaha!!mzee mbona povu, huku mpaka makanisa wana majumba, vikundi vya wa mama pia wanamiliki..
Unafikiria huku kila kitu ni serekali au machothara
Huyu komora sijui kama anajielewa 😂😂 Angalia claim zake za mwanzo.. bro game over akamjibu tu vizur .. haya Angalia upuuzi alikuja kuongea tena 😂😂😂, wewe komora humu JF hakuna mtu size ya akili yako please kindly endelea kubishana na watu wa vijiweni kwenu uko failures wenzako
 
Guess the irony[emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Hii bei kakupa nani?

Kunyaland haitakaa ipate hii neema

 
Kawaambie hivyo Wakunya wenzio sio mimi 😅😅😅😅😅

 
Nadhani unafananisha na ordinary CT SCAN wewe hiyo ni PET CT only SA na TZ ndio wanayo kwa Sub Saharan Africa the rest are in North Africa. Tena only 4 countries in Africa ndio wana hizo machines.
Toka nje ya uswazi hapo Gongo la Mboto ujue yanayoendelea duniani. Kenyans have been enjoying PET CT Scan services since 2017

 
Kama Kenya mkiwa na hizo mashine nahisi itakuwa ni 25 century tena mtapewa mitumba ambayo China au Germany watakuwa wametumia kama SGR zenu
Wivu wa karne huu sasa[emoji1787][emoji1787]
Yani unaugua maradhi ya wivu karne hii si utajitia presha burw jamani
 
Kumbe KG 1 ya sukari Kenya ni 5000 [emoji1787] sasa naiona Zimbabwe mpya [emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Mamaee, haya ndio maradhi ya kukesha twitter[emoji1787][emoji1787]
Sukari inacheza 110 hapo wewe unakuja kuleta tweet zako za ajabu ajabu kw ajili ya political reasons..

Huwezi waelewa wakenya milele hko twitter mwisho utakua unajitesa mwnywe
 
Hawa jamaa wanateseka sana, kwn unafikiria niliposema tz wananchi kiuchumi wapo hoi sana ubafikiria natania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…