Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia majibu yake!

NB: Ukishindwa wewe ni zuzu!
Mwanza which is your second city only has traffic of 217,000 PAX, Arusha on the other hand is doing 84,000 PAX. Both placed together is not even half of What Kisumu airport is recieving.
Mambo ya airports nayo tuliwaambia muachane nayo kabisa. JKIA alone inapokea abiria wengi kuliko airports zote za Tanzania put together.
 
Somehow Posta imesahaulika. Eneo lote hilo linahitaji facelift kidogo kupapendezesha.
That part itakuwa covered na brt phase 3 ijapokuwa ni kweli katikati ya mji pana kusuasua!!!na barabara zake ni fupi fupi sana labda kama wana-consider swala la maji taka kwa ukubwa ule wakati wa kuzijenga tena upya
BRT Phase 3 itafanya mambo hapo muda si mrefu mpka akiba kule.
Pia front view inahitaji facelift tuwe na phases mpk kule coco!pale posta ya zamani tungeongeza ardhi kdg kuelekea baharini kama hatutoathiri shughuli ya bandari na tujenge terminus za kisasa Dar Zanz,Dar Mafia Dar Kilwa Dar Mtwara,kama mimi ndo Kiongozi wa juu napaita jina langu 😝😝 pale posta baada yae shughuli hiyo,legacy ambayo haitakufa kamwe,Ila The late Magufuli alinifundisha kitu kimoja Wekeza kwny kitu kitakachokulipa kwa haraka ikiwezekana kwa upana wake!!!,iwe ni ajira.......Kwa namna hiyo kwa kila mradi ni muhimu tuwe na maono hayo.
 
Okay sijawai kuchunguza kiudnani..kwahyo kuhsu phase3 na 4 inakuaje maana najua tulishafika makubaliano..na sina doubt na BRt projects ni miradi ambayo pesa inarudi mapema sana
Huwa inachukua muda fedha kutolewa ni stages mbalimbali hufuata!
 

Go to Mombasa, you will find the naked truth, of a good number of people including the religious leaders were shot dead.
 
Hahahaha, unachekesha Sana, political assassinations are normal activities in Kenya since indepence.
1)Pio Gama Pinto
2)Tom Mboya

Hivi karibuni ni Jacob Juma na Msando,

Viongozi wengi wa dini wameuliwa kwa kutoa mawazo tofauti na serikali ya Kenya.
 
I like your patient,so kindly i would like to ask you to remain that way because the project is U/C
Oh..then I don't get the point why you had to compare a road with something that doesn't exist.Nontheless all the best.
 
Sasa unachotaka ni nini?

Umeambiwa hiyo ni render ya 117 km of dual carriageway for Dodoma, Nairobi yote haina dual carriageway ya urefu huo hata itambike
I posted Mombasa interchange , your Worthy country man posted a render.Dont you think I can pull a render of future Roads as well?
In the meantime Mombasa interchange nears completion.

 
TBT: Dar city in 1983

Naona kama hii sehemu was far way better zaidi ilivyo sasa, hicho kibustani cha mbele ya Askari Momument now ni kichaka na hakuna anayejali……hilo eneo lote hakuna taa moja ya barabarani inawaka zaidi ya hiyo milingoti ambayo ipo toka Uhuru. Hii picha imenitia simanzi. We need facelift ya CBD immediately.
 
Ni Vizuri kwanza wakamilishe brt 3 na brt 4 kabla hawajaenda kujenga jangwani na msimbazi maana ela ipo
 
Umeua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…