Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When we put up a viaduct within Dar city we should go for a metro like Lagos!
 
Kaka sijasema kwamba hivyo ndio tutakuwa tunatumia,
Tatizo ni je vimenunuliwa vya nini wakati ni old fashioned na kampuni sijui imekufa tunaweza hangaika kupata vipuri vyake huko baadae.
Hatuwezi kununua vichwa kwa ajili ya majaribio tu, majaribio yakiisha tunavifanyaje?
Kitu kingine ujue si vichwa vyote vitahifadhi umeme, inawezekana kabisa zitakazohifadhi zikawa ni EMU tu, haya ni mawazo yangu tuombe isiwe kweli
 
ila hili dude pia linavuta double decker kama lile alilodescribe mkurugenzi hivi karibuni au?

 
Kuna kitu baba mi nangoja maelezo ya hivyo vya Austria ni nani mhusika? Mnunuzi ni TRC au Yapi Merkezi?
 
Ile cku Kenya itapata 3level interchange kama ya Ubungo au kama hii ya Dodoma ndiyo cku naachana na hii battle [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hili dude bhn hata Kama linavuta double decker lkn silo tulilokubaliana.
Vya South Korea vinakuja ila kuanzia 2024...

EMU 10
Electric locomotives 17

Plus Euro Stadler zinakuja pia usihofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…