Nakwambia wewe tulia uone......Hiyo ni mambo ya media babaa ..kenya is a very mature country ..huku usitu judge kwa yale unayaskia kwenye tv etc...we love each other na tuna umoja sana..we work together and we love one another....What we have in kenya is freedom of the media ..freedom of speech ...freedom of expression....Huku kenya hatusumbuliwi au kunyanyaswa na serikali kama tanzania...eti mtu anshikwa kwa sababu ya ku post sijui eti nani mgonjwa kalazwa kenya blabla.
Tanzania mnaumia sana kutuliko sisi ni vile tu kwenu ukifungua mdomo...utajua kilicho mtoa tundulissu manyoyaaaaaaaaaaaa












Let me just block your stunk ass, can't stand your stupidity.Nenda kafie mbali.
Bila kushindana sisi kwa sis hatuwezi kufika huko, mashindano ya kimaendeleo ndiyo mazuri cz wkt cc tunashindana kimaendeleo kuna nchi hapa Africa bado zinashindana kijeshi wakija kustuka sisi tuko mbali.Yote kwa yote EAC hakuna haja ya kushindana sisi kwa sisi , tuunganishe nguvu ukanda huu uwe na maendeleo kushinda Afrika magharibi na kusini kasoro Afrika kusini pekee
Pumbavu wewe block sasa hivi usichelewe, unantishia kublock kwn c ungeblock tu bila kusema.Let me just block your stunk ass, can't stand your stupidity.
acha kiherehere kwani mwandishi hajui Tanzania iko East Africa 😹and u go to Tanzania to see Mt Kilimanjaro, the Serengeti and Zanzibar
The last time I saw tanganyika trending in Kenya is the other day a terrorist blasted himself pale darslam which was last year😸They follow up upto the cloakroom 🤣🤣🤣
construction bado it is on course...it had nothing with cancellation...they wanted someone who can supervise the project ,tender ikafanywa but kuna wenye hawakufurahia..so wameanza a fresh...Update: Nairobi-Nakuru-Mau Summit road won't be built after all!
![]()
Protest as Mau Summit expressway supervision contract cancelled
The construction of the Sh160 billion highway from Nairobi to Mau Summit has run into headwinds after two foreign firms moved to the Administrative Review Board.www.businessdailyafrica.com
Vitu hujengwa kwa makaratasi... 🤣🤣🤷♂️🤷♂️
Kwann umeexclude S.AYote kwa yote EAC hakuna haja ya kushindana sisi kwa sisi , tuunganishe nguvu ukanda huu uwe na maendeleo kushinda Afrika magharibi na kusini kasoro Afrika kusini pekee


Hiyo ni mambo ya media babaa ..kenya is a very mature country ..huku usitu judge kwa yale unayaskia kwenye tv etc...we love each other na tuna umoja sana..we work together and we love one another....What we have in kenya is freedom of the media ..freedom of speech ...freedom of expression....Huku kenya hatusumbuliwi au kunyanyaswa na serikali kama tanzania...eti mtu anshikwa kwa sababu ya ku post sijui eti nani mgonjwa kalazwa kenya blabla.
Tanzania mnaumia sana kutuliko sisi ni vile tu kwenu ukifungua mdomo...utajua kilicho mtoa tundulissu manyoyaaaaaaaaaaaa


utajua kilichofanya CCM kushinda viti 99.9% za siasa