The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nenda kafie mbali.I don't even know what to tell you,it's a pity.
Nenda kafie mbali.I don't even know what to tell you,it's a pity.
Hapana tunataka akukumbatie wewe geuza ulwalw*Unataka akumbatie Sukumagang?
Mbona makasiriko bro, hatakiwi kukumbatia mtu bali afanye uadilifu uwe insurance ya mtu kustay kwenye kitengoUnataka akumbatie Sukumagang?
Swadakta, hivi mtu unaona kabisa joto la jiwe ka comment kama hivyo alafu unamrukia tu pasipo kufuatilia chanzo? Huo ni ukosefu wa adabu kabisa.






Thank You Sir, miafrika miwili masikini kazi hapa ni kupimana misuli badala ya kuleta suluhisho ya umasikini Afrika. Kila siku sijui upuzi GDP, Barabara na upuzi mwingine ambayo ni utajiri wa makampuni na watu kadhaa Wala sio wananchi Masikini walio wengi.
Kenya tunaliwa na MaBeberu weupe na Weusi, bei ya vyakula imepanda, bei ya mafuta, umeme, wizi umeongezeka, njaa na umasikini kuongezeka pia.
Wazungu wakijinyakulia na kugawana Afrika walishikana kwanza bila kubaguana na kuitana majina. Mbona sisi tupigane badala ya kutafuta suluhisho la kusaidia raiyaa wetu?
Nimekuwa kwenye jukwaa hili tangu 2014 Kila siku mashindano, matusi, chuki, wivu na upuzi nikiwa Mojawapo wa kuchochea. MK254 wewe ni Kiongozi onyesha watu wako njia bila kuchagua artificial borders.
mwacheni mama afanye kazi! Kama unampenda namna hiyo JPM, mbona usizikwe nae kama kwenye Shaka Zulu?Mbona makasiriko bro, hatakiwi kukumbatia mtu bali afanye uadilifu uwe insurance ya mtu kustay kwenye kitengo
Wazee wa "Human rights" wanataka kutufundisha ustaarabuMkunya akiandika kejeli ni sawa ila Mtanzania akirudisha kejeli hapo ndipo watu wa ''human rights'' huanza kelele.![]()










Ungekuwa umesoma nini chanzo cha haya majibizano ungetulia pembeni.
Namuunga mkono joto la jiwe 100%
Huwezi tukana Watanzania wenzetu halafu tukuache hivihivi huwa tunapiga kwenye mshono.
Msipende kurukia majibizano bila kuagalia yameanzia wapi.
Nimeona yameanzia kwa rubani wa ATCL and it wasn’t good, the argument escalated to the extreme point, ndio maana nikatumia neno ‘you are going overboard’. Anyways, the duty of a good man is to advise, the wise and prudent will take the advice, the wicked and arrogant will ignore and mocking, that is the time Karma will take its chances. The choice is yours.
Sizikwi ng'o, ntaendelea kuwepo kusambaza harakati za Magu mpaka ifike mahali ssh awe anamtaja Magu kila anapohutubia ndio watu wamuelewemwacheni mama afanye kazi! Kama unampenda namna hiyo JPM, mbona usizikwe nae kama kwenye Shaka Zulu?
Sizikwi ng'o, ntaendelea kuwepo kusambaza harakati za Magu mpaka ifike mahali ssh awe anamtaja Magu kila anapohutubia ndio watu wamuelewe






Huna mapenzi na mwendazake! Maana unaogopa kupachuliwa shingo! Hii maneno ndo ungedhihirisha unachotetea humu kivitendo!Sizikwi ng'o, ntaendelea kuwepo kusambaza harakati za Magu mpaka ifike mahali ssh awe anamtaja Magu kila anapohutubia ndio watu wamuelewe
umeshakaa kwa mkeka na dera huko uswazini unajiliwaza ujinga.......you are a very poor country bro...or siz....whatever you areJe hii picha ndio inaondoa ukweli kwamba Tz kuna miradi yenye thamani kubwa kuliko miradi inayofanywa nchi zote EA combined?
Je hii picha itaondoa ukweli kwamba electrified sgr ya kwanza East and Central Africa yenye European standard ipo Tz?
Je hii picha itaondoa ukweli kwamba cable stayed bridges za kwanza East and Central Africa zipo Tz?
Je hii picha itaondoa ukweli kwamba Tz ndio nchi inayoongoza kwa inclusive economy East and Central Africa?
Je hii picha itaondoa ukweli kwamba Tz inaongoza kuwa na matajiri wengi kuliko nchi zote EA combined?![]()
Mnabaguaba kisa regionChama gani hicho
Tz chama ni kimoja tu au hujui![]()


Jamaa yani anajua kupiga pini, mpka mnahaha, huaga namkubali sana Walker255 jamaa nimkimya lkn akiamua kupuga pini nzi wote wa kijani husambaaratika alafu ndio unaanza kukuta mmoja wanajitafuta kipyaUngekuwa umesoma nini chanzo cha haya majibizano ungetulia pembeni.
Namuunga mkono joto la jiwe 100%
Huwezi tukana Watanzania wenzetu halafu tukuache hivihivi huwa tunapiga kwenye mshono.
Msipende kurukia majibizano bila kuagalia yameanzia wapi.



Bomu liliachiwa jana lkn nsi mpka leo wanajifurukuta milango yote ya chuma alafi nyumba imewaka moto...sijui mtatokea wapi manake ukitia pua tu unakutwa na balaa lingine..Swadakta, hivi mtu unaona kabisa joto la jiwe ka comment kama hivyo alafu unamrukia tu pasipo kufuatilia chanzo? Huo ni ukosefu wa adabu kabisa.
hawa weusi wanaenda kuwajengea ships za jeshi navy yenu,say thanks to the Blackest KDF😜Sina tatizo na black colour nina tatizo na rangi ya wakenya walio wengi wamepauka kwa dhiki na wala co weusi wa kawaida, hii vita mmeanza nyinyi wakenya but cc tunaenda na beats zenu, kuna watz huwa wananishangaza sn cjui ni kutafuta kiki kwenye hii thread ama ni vipi, yn matusi ya colour wanayotoa wakunya hawayaoni lkn wanatuona cc ndio wakorofi huu ni ujinga, watz hampaswi kusahau aina ya watu tunao battle nao humu kwamba wengi ni washenzi na wenye kejeli, ss msitake kujifanya nyinyi ndio mnajua na kwamba cc hatujui tunachofanya, tunaenda na beats zao ili wakasimuliane huko kwao kwamba wakija humu wawe na heshima na adabu kwani vurugu zote tunaziweza.