Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha ajabu kipi hapa? Dodoma imewapita
Dodoma fananisha na hii slum yenu mnaita darislum
2209122_Screenshot_20191110-193507.jpg
 
KCB ni kampuni ya Tanzania?
What about Equity, hiyo pia ni kampuni ya Tz?
DTB bank ni kampuni ya Tz?
I&M ni kampuni ya Tz?

even EastAfricanBreweries, and BAT.
coz i saw Tusker, and Pilsner and Sportsman when we happen to have gone to Tarime thru' Isibania. we were in Kisii Staff Training for a short course
 
Mi nilipoliona hata nlishangaa sana mazee, daraja km barabara ya lanes nne ya kawaida
Nyoko wewe mbona kama la kawaida, Kunyaland nzima isi-afford cable stayed bridge? the say in the street ni kuwa hamna kitu kunyaland wanacho as far as modern infrastructure Tanzania haina hata hiyo viaduct sisi tunayo tena yetu ina cable stayed bridge na inapitisha electrical train! FYI the whole of kunyaland haina cable stayed bridge wala electrical SGR!
 
Acha utani mzee, yani hapo pia unabisha.kwanza mtajengewaje daraja km highway ya kawaida tu jamani
 
even EastAfricanBreweries, and BAT.
coz i saw Tusker, and Pilsner and Sportsman when we happen to have gone to Tarime thru' Isibania. we were in Kisii Staff Training for a short course
your brothers cross to tanzania to do boozing! BTW EA Brew is a Diageo company and not Kenyan owned!
 
Nyoko wewe mbona kama la kawaida, Kunyaland nzima isi-afford cable stayed bridge? the say in the street ni kuwa hamna kitu kunyaland wanacho as far as modern infrastructure Tanzania haina hata hiyo viaduct sisi tunayo tena yetu ina cable stayed bridge na inapitisha electrical train! FYI the whole of kunyaland haina cable stayed bridge wala electrical SGR!
Mbona povu jomba wakati mie nasema ukweli tu, sasa kw mfano unaanzaje kukasirika wakati km ni kupigwa mumepigwa hapo...

Yani kila sehemu mnapigwa, ubungo mumejengewa kilima hapo kw salender napo mumejengea a 4Lane highway wakati wenyewe mlikua mnatarajia daraja la kishua..
Au hzo beams ndio zimewachanganya
 
we already startin' gettin' used to the sophisticated expressway, am now finding ubungo interchange pathetic!, inadequate and shapeless..
iko na shape mbaya sana kwangu, inanikalia kama mamba... aisee, bichi kidimwi hichi ndo manaake,.. baba levo ako wapi jameni, awanyweee tena mijeledi mbili tatu..

20220205_195235.jpg

d41586-019-02888-8_17206206.jpg
 
we're already starting to get used to expressway, am now finding ubungo interchange pathetic! and shapeless..
iko na shape mbaya sana kwangu, inakaa ka mamba...

View attachment 2109344

View attachment 2109345
yani, tangia expressway ianze ku catch shape, hatuskii tena kelele za ubungo interchange hapa. atleast sasa tunaweza pumua. walikimya wote, hasa Ichoboy . mzee wa 3levels
 
Back
Top Bottom