Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ndio usitaje sasa hiyo nyali bridge kwenye sentence moja na Madaraja mengine ya DSM.. unyamazagetulijenga nyali bridge ili isolve ile problem iko ya 200m gap tu.!, hatujengi ili iwe monument kama nyinyi.
..so ulitaka tujenge 500m span hapo nyali ama.!? lakini gap yenyewe ni 200m.. alafu asa?