The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Lini rushwa iliwahi Isha? Si afadhari rushwa kuliko kupora? Ukitakiwa kulipa faini mil.3,,ukalipa mil.1 afu ukawapa laki 5 TRA kuna shida gani hapo?Hivi unafahamu hii ''Task force'' ya sasa hivi inatengeneza mazingira ya rushwa?
Ndio hivyo lipa Kodi Mzee, serikali ina mengi ya kufanya,tunataka wastani wa til.2 kwa mwezi saizi hakuna kisingizio uchumi uko vizuri..Anyway, Mama, Amiri jeshi mkuu, Rais wa JMT, Mwenyekiti wa CCM taifa, Mh SSH yupo kazini. [emoji4][emoji4][emoji4]
Alianza kuweka mtego wa kuchukua Mombasa, then kuokota pesa za raia kwenye express way. Kinachofuata ni kununua mashamba kwa uhuru ili awauzie chakulasaahii ni mwendo wa masharti tu! Saa hii Mchina akiambia Kenya bong'oa hamna jinsi!
😂😂😂 Vidaraja hivi vya kipuuzi vipo kila kona ya Tz hapo DSM yenyewe vipo kibao, hatuviweki humu kwasababu sio zile vitu za world standard. heb jionee 👇..kwa hapa EA kwenye suala la madaraja hatuna mpinzaniInfact Mombasa has around 8 bridges
4. Nyali bridge
View attachment 2105664
5. KPA Kipevu bridge
View attachment 2105665
6. CFS Kibarani bridge
View attachment 2105669
7. Liwatoni bridge
View attachment 2105671
8. Likoni bridge(U/C.
View attachment 2105672
ujenzi umeporomoka kwa 50% na ubunifu hakuna ,kama siyo jpm bomba la mafuta lingepita kenya magufuli alikuwa na vision kubwa sana, kitu ambacho kwa sasa hakipo kwa huyu mpumbavu tuliyenaye anawaza kusimikwa uchifu ,anashindwa hata kutembelea miradi ya msingi kama tanesco na miradi yake yeye ni matamasha tu
Umekuwa ukiongea ujinga kwa mda mrefu mpka sasa umeanza kuamini, niuchumi gani ulio imara we kizuuu? Embu nitajie hata kitu kimoja kilicho na inflation below 4%...kweli ujinga mzigoWewe acha ujinga, awamu ya 5 ilikuwa inatumia task force kubambikia watu Kodi za nyuma na kupora pesa..
Saizi Wana enforce kulipa Kodi kwa hiari kama hujalipa nyundo inakuhusu,kulipa Kodi ni sheria na lazima utimize wajibu..
Tangazo la hiyo kampeni liko toka mwezi July mwaka Jana implementation ndio imeanza saizi..
Tunataka pesa nyingi saizi hakuna kisingizio,the economy is doing well.
Africa nzima sasa inaijadili Tz, Magufuli huyu Mungu amuweke mahala pema peponi, amsamehe dhambi zake zote za kibinadamu.
Sasa ulikuw unaponda nini wakati hata akili ya ziada haikutumika zaidi ya copy and paste?Ilivyorudi imekufanya nini kama unalipa? Imekuletea shida yeyote? Kama hulipi utakula nyundo.
Hizi ni kelele sasaujenzi umeporomoka kwa 50% na ubunifu hakuna ,kama siyo jpm bomba la mafuta lingepita kenya magufuli alikuwa na vision kubwa sana, kitu ambacho kwa sasa hakipo kwa huyu mpumbavu tuliyenaye anawaza kusimikwa uchifu ,anashindwa hata kutembelea miradi ya msingi kama tanesco na miradi yake yeye ni matamasha tu
Ujaelewa unacho ulizwa umeambiwa mchina akijua unao uwezo wa kumlipa awezi kukukopesha mpaka agunduwe hauta weza kumlipa kwa sababu mchina anatamani ukimkopa ushindwe kumlipa ili achukue hatua yenye kuinufaisha china mara5 zaidi ya manufaa ambayo angeyapata kama ungeweza kumlipa ,[emoji2957]toptorn anadanganya. Sasa hivi uwezo wa Kenya kulipa mkopo wa SGR phase 2B Naivasha-Kisumu upo chini mno. Sasa hivi tumezongwa na madeni. Sasa mbona Mchina hajakimbia kutukopesha SGR phase 2B ikiwa anachosema Toptorn ni ukweli?
Sasa sindiyo alivyo fanya JPM nyinyi wanuka kinyesi mkamkashifu humu au unadhani tumesahauKulipa kwa hiari haimaanishi usilipe Kodi,ni kweli unatakiwa kulipa kwa hiari usipolipwa ushushiwa kitu kizito kichwani..
Safi Sana TRA ,hili zoezi liwe endelevu angalau wiki 2 kwa mwezi
Hehehehee kikitoka chuma kinaingia chuma, hatuwasubiri sisi tunasonga tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona ukutuambia siku za nyuma kuwa na nyinyi mna task force [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117]naona mama anazidi kuji[emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Wewe acha ujinga, awamu ya 5 ilikuwa inatumia task force kubambikia watu Kodi za nyuma na kupora pesa..
Saizi Wana enforce kulipa Kodi kwa hiari kama hujalipa nyundo inakuhusu,kulipa Kodi ni sheria na lazima utimize wajibu..
Tangazo la hiyo kampeni liko toka mwezi July mwaka Jana implementation ndio imeanza saizi..
Tunataka pesa nyingi saizi hakuna kisingizio,the economy is doing well.
Ndio maana amewakopesha cz anajua mtashindwa kulipa zen afanye yake.toptorn anadanganya. Sasa hivi uwezo wa Kenya kulipa mkopo wa SGR phase 2B Naivasha-Kisumu upo chini mno. Sasa hivi tumezongwa na madeni. Sasa mbona Mchina hajakimbia kutukopesha SGR phase 2B ikiwa anachosema Toptorn ni ukweli?
hatujengi daraja moja, tunajenga kadhaaNa mbona isijenge? BTW u will end up paying over $1 bln kwa Mchina!
Anajiaibisha tu.Si nyie ndo mlikuwa mnalalamika awamu ya 5 njia kama hiyo ikitumika kukusanya kodi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hamueleweki!
ZIDUMU FIKRA ZA MWALIMU NA MAGUFULI.....tokomeza wahuni wa msoga na sa100Africa nzima sasa inaijadili Tz, Magufuli huyu Mungu amuweke mahala pema peponi, amsamehe dhambi zake zote za kibinadamu.
Kwani ujui mama anatafuta uchifu na kuvishwa ngozi za nguruwe