Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Durban na Pretoria arent more developed than Nairobi. ... ..you and your inferiority complex worship South Africa alot....nowonder you shoot all your videos over there.Hahaha. ......Tukiongeza hadi the Urban Nairobi outside the city boundaries Joburg na capetown zinapumua tu kwelikweli
Unajua wakenya mnaupuuzi wa asili,huwezi kukubali kua mpo nyuma ya iyo miji lakini unataka uniaminishe ujinga kwamba Nairobi ni pako mbele...mtafute mkenya mwenzio mkadanganyane....wacha watu wa shoot video wanakuona panawapendeza...ingekua kwenu pana level iyo video zote wange shoot kwnu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar Es Salaam Rapid Transit System
tumblr_olwydtwjiz1tnpnizo1_1280.jpg
Let's wait 4 the second phase...
hawa machalii wanadai brt haifai nairobi...is it true Au wanajifariji?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
apart from you jealous Tanzanians no normal person can dispute Nairobi's dominance in the region. .... hata list unasoma vice versa. .... Lol. Nairobi has like 50 flyovers and footbridges. ... ..tembea ujionee. .. ..not your usual "Nairobi napajua lies "
ukweli unawauma sana....
 
Let's wait 4 the second phase...
hawa machalii wanadai brt haifai nairobi...is it true Au wanajifariji?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa ni sizitaki hizi mbichi, hamna lolote. System ya BRT simchezo, ukichukulia cost per effective reach yaani sio tuu tumepiga bao bali kanzu na tobo. Watanzania tunaakili wewe, hatuigi tu mambo hovyo hovyo.
 
Durban na Pretoria arent more developed than Nairobi. ... ..you and your inferiority complex worship South Africa alot....nowonder you shoot all your videos over there.Hahaha. ......Tukiongeza hadi the Urban Nairobi outside the city boundaries Joburg na capetown zinapumua tu kwelikweli
we jamaa kweli ni mwehu hiko kijiji chenu cha nairobi unacompare na durban S.A ......level ya nairobi ni mshindane na malawi

AT DURBAN S.A
cd4666cb3ffc97fdfd6054eb49f9c3fe.jpg
2ef04bfc98fa1c44ccbabf8b0e785cdd.jpg

AT NAIROBI KENYA
hebu tazama uchafu wenu
a0f3609e8ecc559b4c786b7d0b0efb80.jpg
c18fe664a7db688b0986af28402e2efb.jpg
 
Jesuuu
Unaijua Cairo wewe ..unaijua Casblanca ..algeris ...au unajifanya huoni ..hamna matata wala matatu kule ...
kuja na statistics kwenye meza. ni Casablanca na Algiers btw.... Algeria kuna vita, Casablanca sioni zaidi ya passenger train yao. Cairo, population na towers... hawako mbali.
 
kuja na statistics kwenye meza. ni Casablanca na Algiers btw.... Algeria kuna vita, Casablanca sioni zaidi ya passenger train yao. Cairo, population na towers... hawako mbali.
So nairobi is far ahead of casablanca and cairo ryt?????😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
kuja na statistics kwenye meza. ni Casablanca na Algiers btw.... Algeria kuna vita, Casablanca sioni zaidi ya passenger train yao. Cairo, population na towers... hawako mbali.
East Africa bado tunajikongoja....uache kujifariji na thika highway, ni vitu vidogo sana kwa waliotangulia...Ila sijui nisemeje mnajitahidi lakini bado hamko top

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui mbona most muslim cities ziko disorganized....pia Dar na mombasa ni part of that
 
Dar ni ugly.....most buildings like three quarter zinafanana....arabic style
 
Back
Top Bottom