Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cjui kama kuna MTz anaombea vita itokee kenya...atakua na roho ya uovu ..na si ubinadamu..tunaweza kuomba mcpate ma deal kama bomba la mafuta..lakini si vita
 
Word Class
00340852:1c67b3f16a096f487c27cb44495e065a:arc614x376:w1200.png
 
Kuna kitu kimoja nimejifunza hapa na nadhani na nyie mnahitajika kujifunza

Chukua mfano south Africa ya miaka ya 90 na ya sasa,

Nairobi haibadiliki, iko vilevile ila dsm inabadilika kila kukicha, nairobi ni mji wa kitalii ndio maana miaka ya nyima ilijengwa sana ili kuvutia watalii zaidi, but dsm ni mji wa biashara, ukilinganisha dsm ya mwaka 1990 na nairobi ya 1990 ni sawa kusema nairobi ilikuwa juu sana ila ukizungumzia dsm ya 2017 na nairobi ya 2017 dsm imeiacha mbali sana naii, nairobi mpk leo wanazungumzia matatu, yani daladala wakati dsm tunazungumzia brt tumeshaachana na daladala, nairobi wanazungumzia highways, dsm inazungumzia flyovers, ndio maana nikasema nairobi imebakia palepale ilipo wakati dsm kila sekunde inabadilika, so wanairobi acheni kukariri nendeni kwa facts, hata binti akiwa bikra ipo siku atazeeka tuu

Kijana tembea.
In the last 10 years, Nairobi has gotten a brand new CBD in Upper Hill.
Nairobi has many new highways and flyovers.
Zile propaganda mnazolishwa na Makufuli zitammaliza nyie wabongolala.
 
Kuna kitu kimoja nimejifunza hapa na nadhani na nyie mnahitajika kujifunza

Chukua mfano south Africa ya miaka ya 90 na ya sasa,

Nairobi haibadiliki, iko vilevile ila dsm inabadilika kila kukicha, nairobi ni mji wa kitalii ndio maana miaka ya nyima ilijengwa sana ili kuvutia watalii zaidi, but dsm ni mji wa biashara, ukilinganisha dsm ya mwaka 1990 na nairobi ya 1990 ni sawa kusema nairobi ilikuwa juu sana ila ukizungumzia dsm ya 2017 na nairobi ya 2017 dsm imeiacha mbali sana naii, nairobi mpk leo wanazungumzia matatu, yani daladala wakati dsm tunazungumzia brt tumeshaachana na daladala, nairobi wanazungumzia highways, dsm inazungumzia flyovers, ndio maana nikasema nairobi imebakia palepale ilipo wakati dsm kila sekunde inabadilika, so wanairobi acheni kukariri nendeni kwa facts, hata binti akiwa bikra ipo siku atazeeka tuu

apart from you jealous Tanzanians no normal person can dispute Nairobi's dominance in the region. .... hata list unasoma vice versa. .... Lol. Nairobi has like 50 flyovers and footbridges. ... ..tembea ujionee. .. ..not your usual "Nairobi napajua lies "
 
Kumbuka Nai haijaifikia Pretoria,cape town,Durban kwa lolote ,Dar ofcz siwez sema ni beauty as far as bado kuna changamoto nyingi, but dar is developing, Ukweli Ni kwamba Dar inakua kwa kasi zaidi ya Nai, Nai inakua kwa kasi baada ya Dar , Kusema Nai ipo nyuma ya jozi na Cairo ni kujipumbaza tu sio ukweli. ...infact Nai inatuzidi miundombinu kadhaa ambayo ipo tayar inafanyiwa kazi. ..Basing on reality Nairobi and Dar are all developing cities, we have not attained developed city status yet!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Durban na Pretoria arent more developed than Nairobi. ... ..you and your inferiority complex worship South Africa alot....nowonder you shoot all your videos over there.Hahaha. ......Tukiongeza hadi the Urban Nairobi outside the city boundaries Joburg na capetown zinapumua tu kwelikweli
 
Since 1990 nairobi imechange sana..
pia inafaa wajue joburg,cape town ,pretoria ya 90's ni same na ya sasa....no new buldings plus highways
 
Kumbuka Nai haijaifikia Pretoria,cape town,Durban kwa lolote ,Dar ofcz siwez sema ni beauty as far as bado kuna changamoto nyingi, but dar is developing, Ukweli Ni kwamba Dar inakua kwa kasi zaidi ya Nai, Nai inakua kwa kasi baada ya Dar , Kusema Nai ipo nyuma ya jozi na Cairo ni kujipumbaza tu sio ukweli. ...infact Nai inatuzidi miundombinu kadhaa ambayo ipo tayar inafanyiwa kazi. ..Basing on reality Nairobi and Dar are all developing cities, we have not attained developed city status yet!!

Sent using Jamii Forums mobile app
The only city that beats Nairobi ni Jo'burg pekee yake!!!
dar inakuwa kwa kasi na hata uchumi wa tz pia unakuwa kwa kasi mno.... but that does not mean Nairobi au Kenya iko stagnant. once ii ikikuingia akilini, hautawail weka daris slum na Nairobi kwa sentensi moja.
 
Jesuuu
Unaijua Cairo wewe ..unaijua Casblanca ..algeris ...au unajifanya huoni ..hamna matata wala matatu kule ...
 
apart from you jealous Tanzanians no normal person can dispute Nairobi's dominance in the region. .... hata list unasoma vice versa. .... Lol. Nairobi has like 50 flyovers and footbridges. ... ..tembea ujionee. .. ..not your usual "Nairobi napajua lies "
No one is jealous of you.
 
The only city that beats Nairobi ni Jo'burg pekee yake!!!
dar inakuwa kwa kasi na hata uchumi wa tz pia unakuwa kwa kasi mno.... but that does not mean Nairobi au Kenya iko stagnant. once ii ikikuingia akilini, hautawail weka daris slum na Nairobi kwa sentensi moja.
Wewe chang'aa itakuwa imekushika.
 
So in short that means weve learned our lesson after 2007,ama watu waoga kupigana do u think they can fight really

Sent using Jamii Forums mobile app

BREAKING NEWS: YOU CAN TAKE THIS TO THE BANK, THERE WILL BE PEACE AFTER ELECTIONS WALE WATANZANIA WANATUOTEA TUPIGANE THEY STEAL OUR MARKET YOU WILL BE VERY DISSAPOINTED

Sent using Jamii Forums mobile app
on a serious note,we are praying for you guys to have a very peaceful election during the voting process,vote counting
and the whole process of announcing winners.God bless kenya.
 
Back
Top Bottom