Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,766
Wamepokea maagizo ya kutokutaja jina la Nyerere wala Magufuli ,wasaliti wa hii nchi ni team msoga kwao uzalendo ni maviii
Alivofika kenya akafa, akapelekwa Tanzania akajikuta yupo mbinguni πni yule yule aliekua kenya ππ
Wote ni uhalibifu,saizi kuna huduma ya balloons watatumia hio option kama Wana haraka,otherwise zile tents zinatosha .Huko juu kunatakiwa kuwe na huduma hata kama kwa kutoboa mlima iwe ndani kwa ndani ili pasionekane maana kuna swala la afya pia ,kwahiyo siyo lazima hizo hotel ziwe zinaonekana
Wakenya kwa kusafiri na madumu hawajambo. RIP Kenyatayari tena ππππ
Wakati hata $2M hawapati. Hawa ni kawaida yao kuwa ving'ang'anizi huku wakila hasara si unaona KQUtamsikia Mkunya KCB control Tanzanian Economy [emoji1787]
jamani mwishoni ntapigwa sasa naombeni ulinzi wa dharura π€£π€£π€£π€£π€£Siku zote zuka ni zuka tu hta umjuze vipi bado atajikuta yupo right
Aliyekwambia io tren ya umeme ni Nani[emoji23]Good afternoon ladies and gentlemen
View attachment 2102605
View attachment 2102606
View attachment 2102607
View attachment 2102608
View attachment 2102614
SGR lini ilifika bandarini? Huoni wakiiweka juu ya meter gauge railway? How desperate π€£π€£π€£π€£Good afternoon ladies and gentlemen
View attachment 2102605
View attachment 2102606
View attachment 2102607
View attachment 2102608
View attachment 2102614
πππππSGR lini ilifika bandarini? Huoni wakiiweka juu ya meter gauge railway? How desperate π€£π€£π€£π€£
Hahaaa!!noma sanaGood afternoon ladies and gentlemen
View attachment 2102605
View attachment 2102606
View attachment 2102607
View attachment 2102608
View attachment 2102614
π Yaani hata hujiulizi kwa nini imekuja moja?
Tanzani mumeanza lini kununua vyuma sura mbaya, si tunajuae nyie mnapenda cha urembo
Hii ya kwenu ya kutishia watoto wakalale huioni? ππππTanzani mumeanza lini kununua vyuma sura mbaya, si tunajuae nyie mnapenda cha urembo