Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania hakuna vehicle manufacturers. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.
Ndio hatuna manufacturers lakini ndio wenye gari nyingi ukanda huu 🀣🀣🀣🀣

 
Tanzania hakuna vehicle manufacturers. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na unataka kunifunza kuhusu topic ambacho hukifahamu wala hukielewi.



https://www.facebook.com/



 
Magufuli alikuwa anaanzisha vitu vipya kila kukicha mfano bus terminal hospital ,airport kufufua mashirika ya ndege na meli kufufua reli zote nk sasa tuonyeshe hata vision mpya ya mama zaidi ya kufufua ukabila na uchifu mafiii,kufufua ujambazi ,kufufua rushwa ,kufufua mgao wa umeme, kufufua ukilitimba maofisini ,kufufua kutembeza bakuri kwa mabeberu ,kufufua ajali za barabarani ,kuleta janjo feki kwa ajili ya wapumbavu wachomwe ,kuleta tozo za kifisadi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…