Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Scania uses AVA to assemble their lorries an kama hupendi unaezajinyonga🤣🤣🤣
mm nakwambia assembly plant ya scania africa iko south africa hakuna nchi nyingine na haitokei kwa sas 😂😂😂😂😂
 
mm nakwambia assembly plant ya scania africa iko south africa hakuna nchi nyingine na haitokei kwa sas 😂😂😂😂😂
Nataka tukubaliane one thing. Are Scania trucks and buses being assembled in Kenya or not?
 
Yani unapingana hadi na picha? Kweli umelaaniwa😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anafikiri gari ni square pipes na flatbars wanazotumia kutengenezea yale masufuria yao [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Masufuria
 
Wanapenda vitu vzr uwezo hawana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndivyo wakunya walivyo, anaongopa alafu anaskilizia mkikaa kmy anajiona kashinda zen kesho anarudia tena vile vile, kuna mda huwa tunakaa kmy tu Mana ni kichefuchefu hata kujibu upuuzi kama ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…