Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii lisala uliyoweka ndio itafanya al shabaab isipige Kenya? Ndio itafanya msiuane kwenye uchaguzi wa mwaka huu? Ndiyo itaondoa njaa iliyoweka mizizi kunako Kunyaland? Sahau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maskin wa Tanzania anaishi vizuri kuliko wa Kenya.
Elfu tano ya kitanzania inakulisha siku nzima.
Je vp kwa Kenya!?
Kila siku hapa tunawaambia tulinganishe bei ya basic commodities Kama vile unga, sugar na mafuta I'll mnabaki kutoa povu. Mtanganyika anaishi vizuri indeed! 😂
 
Msenge huyo achana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…