Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya Kuna media freedom?, Hivi Kati ya Kenya na Tanzania ipi ipo na demokrasia zaidi kwa mujibu wa viwango vya dunia?, Sasa Kama Tanzania imeizidi Kenya katika demokrasia vipi Kenya iwe na media freedom kuizidi Tanzania?

Hao wakenya ndio wanaolinganisha crime rate ya TZ na Kenya ndio sababu tunalinganisha, Sasa wewe unayejaribu kutumia" isolated cases" kuonyesha kwamba Tanzania Kuna tatizo kubwa lakini hakuna media zinazotanga ila Kenya media ndio zinatangaza, unapaswa ujiulize, Je hao wanatoiweka Tanzania kuwa namba 58 na Kenya 116 duniani katika Amani nao pia wanatumia kufikiria Kama wewe?
 
Hebu tulia na ujiulize kwanza. You’re all over the place. Mara list ya democracy, Mara list ya amani huku mimi ninaongelea media freedom!

Press freedom Tanzania iko kwenye hali mbaya. Nchi ambayo inakandamiza press freedom na inafunga mitandao ya kijamii kama twitter ni nchi inayotambua kuwa kuenea Kwa ukweli kunaharibu agenda za serikali Na pia ni njia ya ku-control information dissemination. Tembelea list ya press freedom index na urudi hapa halafu uniambie kama Tanzania inaizidi Kenya.

Amani Kenya ni chini kuliko Tanzania Kwa sababu kama terrorism. Lakini crime sio terrorism pekee. Ndio Maana nasema hata Tanzania matukio ya kinyama na mauaji yapo lakini hayapati media attention.
 
Nimetaja baadhi ya adhabu na nimesema na nyinginezo kulingana na mazingira ya utendaji kazi, Sasa wewe unechagua hiyo Moja pekee. Mkuu wacha hizo kaka, japo ni haki ya kila mtanzania kusafiri na kwenda popote anapotaka, lakini ni kichaa pekee anayeweza kusafiri toka Dar hadi Mwanza bila sababu za msingi eti sababu kubwa anatimiza haki yake ya kikatiba ya "freedom of movement"
 
Alichokiongea hapo umekielewa? Au unapinga tu ukamilishe tabia yako ya kupinga kila kitu.
I know the principle behind his reasoning., I don't observe the conduct as such, I deduce the underlying principle behind the conduct bro, am reacting to the principle at play, what u ain't seeing.., nawajua vizuri sana.,
 
Katiba ya Tanzania inatoa absolute freedom of speech, sio partial. Kwa hiyo nita-exercise haki yangu vyovyote niwezavyo. If you can’t handle that then piss off.
 
let me educate you jiwe la moto. inaitwa Tanga(coastline), Nyika(interior savanna) and Zanzibar (a semi autonomous citystate). the three form one state of 61m pple with 121 sub tribes
 
sasa ww hutaki aje tanzania au 🤣🤣🤣
alooo wakenya munaroho mbaya sana
 
na mi nimegundua either ni masomo basic haijakukubali (which clearly explains your average tanzanian poor education) ama wewe ni kichaa wa kujitakia.
i think its the first one
endelea hvo hvo kuumia na kuungua rohoni ila jamaa kaja nchini na anakula bata na kaacha pesa ya watalii zaidi ya 500 waliokaa masai mara kwa wiki mbili hata kama utakadirika haitadaidia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ndiyo maana tunawaambia hiyo GDP yenu ni ya kwenye makaratasi! haionyeshi uhalisia wa maisha ya wakunyaland. kenya ni shamba la bibi watu wanachota wanahamisha. hahahahha
Shida yako ni kuvuta bangi na kua mdanganyika mjinga hadi huoni uhalisia.
 
But have better standard of living, including better Hospitals than those with theoretical GDP.
MY FRIEND...DO YOU KNOW HOW MUCH IS 40 BILLION DIFFERENCE????
WE ARE WAY MUCH BETTER...ASK BABA LEVO...HE WAS SHOCKED WHEN HE CAME TO KENYA....NA YEYE HUWA MBISHI SANA...LAKINI ALIPO KUJA HUKU ...ALIKUBALI MWENYEWE.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…