Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What do you mean hamna pesa za ndani.?hatukusanyi kodi au ? unajua kwamba mkopo una support budget kwa % chache tu...Mama alichosema ni kwamba ili miradi iende fasta lazima tukope ili tupate hela ya chap kumaliza haraka kuliko kusubiria revenues ...za ndani..

Nakupa mfano wa Miradi Mikubwa hamna mkopo uliochukuliwa
Kigongo To Busisi Bridge 700billion tsh
JNHPP.. almost 2.9bn usd
 
Ss makasiriko yote haya ya nn? C tumekubaliana kila mtu a deal na nchi yake!! Kila mbuzi akule kwenye urefu wa kamba yake mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeuaa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nzima tuko watano lkn lazima iturudishe hom na kutufuata alafu kuna mbuzi inasema sina kazi kisa nipo active JF kwa muda mwingi, sasa hapo jibu ni kwamba nabalance mambo yng na pia kazi yangu inaruhusu kuwa free at some degree[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti eeehhh [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazembe wanang'ag'ania geographical position kila upande wakati haipo,hii imekula kwao
 
Hahahaha, jinga kabisa wewe, weka data na chanzo cha hiyo data, wacha kuleta vijarida visivyojulikana source yake, data lazima ziwe sio zaidi ya miaka 2 iliyopita.

Tuanze na 1)Amani umoja na mshikamano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa swali langu kama hii project ina focus Kenya kwa wingi wakati jina la project ni Lapsset huoni ni lugha ya mshindwaji ,huwa mnatangulia kichwa kichwa alafu mnapigwa hasa
 
Burden of proof ni kwako wewe ulie ropokwa humu bila supportig evidence, ama kwa yale nimeweka leta na yako with reputable source upinge, domo domo ndio mnazo, jibu zero, mtanyooka tu 😂 😂 😂 😂 😂 , support your idiocy nione..., nyambaff 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…