Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inakaa kama kibanda ya maduka along the roads, kwa stations mlihara πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
sasa ugonvi wa nn unataka kunipiga budaa🀣🀣🀣🀣🀣 yani unaumia kias unataka na ugonvi
 
I dont think Tano zilizopo zinatumika to Maximum

what i am thinking is we are using A220s on very short routes mfano ..Dar Kia Mwanza, Dar Kia Znz

We should let the A220s focus kwenye routes za Africa and Middle east

Plus kuna kipindi cha low season..ambacho tumeona Harare/Lusaka triangle route ATC hutumia Q400, Nairobi ishaanza kupata Q400 during somedays kwneye week ..entebbe gets Q400 kama leo mfano...

Bado hizo q400 hazijenda kwenye checks mbali mbali ..plus they are very profitable to operate ..during low season ofcourse A220s are cheaper to
 
Unaongea hili based on expansion plan au unavyojiskia wewe?

Mimi my argument imeangalia hii ramani yaani upcoming routes! sasa wewe sijui umeangalia wapi wakati q400 zilizopo haziko fully utilized mind u most routes within Tanzania are less than 2 hours flight! Air Tanzania is to fly to West Africa and Europe hizo q400 unazoongelea wewe hazitasaidia ndo maana nikushauri uwe unaangalia mipango yao kwanza! Get to know the industry kwanza!

 
Idiocy on steroids [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , no relations whatsoever, a fallacious reasoning, potelea mbali mzee, u didn't get a thing [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
najua hujaelewa,jikaze kidogo
utaelewa meaning
 
Kuna battle kati ya Burundi na Rwanda, Rwandese wakiona hii habari ni pigo kwao ila sababu Burundi ni Tanzania B hatuna namna lazima tuwe na uhakika na mzigo wa DRC
Rwanda inataka iwe ndio kituo kikubwa cha kuunganisha DRC, Burundi hata na Uganda kwa sgr lakini Tz ikaliona ,ndio maana Burundi inachukukia msongati.
 
The reason nimesema hiyo data ya kutoka Tz iko na kasoro. Thanks for trying to explain. Freshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…