Wanalipwa vizuri kwhyo kuishi kifahari sio tatizo kwao, upomm nishawah sema nn mukakataa nyinyi? sikusema matajiri wengi kenya ni politician na ndio owner wakubwa wa lands [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
leo unatembelea hoja yangu
kenya haiwezi kushidana na tanzania kwenye magari ya kibabe hata siku moja huku vijana wadogo unawakuta na mashine za adabu
lazma upanic nilitegemea hvo 🤣🤣🤣Hehehe!!nimekuacha mneguaji[emoji1787][emoji1787]
wanalipwa vzr na ndio wezi wakubwa wa nchi hio 🤣🤣🤣 au pia unabishaWanalipwa vizuri kwhyo kuishi kifahari sio tatizo kwao, upo
Endelea kunengua babalazma upanic nilitegemea hvo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂😂 hasira hasaraEndelea kunengua baba
Tuonyeshe mbune anayemiliki V8 ya kwake tzwanalipwa vzr na ndio wezi wakubwa wa nchi hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au pia unabisha
Nengua mzee, uwanja ni wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hasira hasara
Si umesema hapa gari zote foreign kenya si za wakenya , gari kenya ni very expensive but still tuna gari nyingi kuwashinda, gari ya maana kenya lazima ukue na tzs.20m kuendeleaSijakuelewa, unachobisha ni kwamba hilo gari sio la mtanzania au ni kwamba hakuna gharama zozote za kulipa Kenya kama gari linatoka nchi nyingine?
Mbeya-Chunya highway
Hyo ni mwizi mkubwa
Kuna battle kati ya Burundi na Rwanda, Rwandese wakiona hii habari ni pigo kwao ila sababu Burundi ni Tanzania B hatuna namna lazima tuwe na uhakika na mzigo wa DRC😆😆🇹🇿🇹🇿🇹🇿 wanaumia ila wanavumilia sana
heheheheheh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyang'au mnajaribu kujifariji kwamba tuko kapu moja,Mzee nyie mumekabwa koo na madeni sisi ndio kwanza tuko 30%.Suluhu (2021-2035)View attachment 2084663
enhh ushapanic sasa alimuibia mama ngina auHyo ni mwizi mkubwa
na rwanda hana ujanja kwa tanzania 😂😂Kuna battle kati ya Burundi na Rwanda, Rwandese wakiona hii habari ni pigo kwao ila sababu Burundi ni Tanzania B hatuna namna lazima tuwe na uhakika na mzigo wa DRC
Ameiba pesa za ummaenhh ushapanic sasa alimuibia mama ngina au
Sasa Kenya mpaka uwe na 20 million ndio umiliki gari wakati Tanzania million 3 tu una uhakika wa kupata gari, wapi watakuwa na gari nyingi?Si umesema hapa gari zote foreign kenya si za wakenya , gari kenya ni very expensive but still tuna gari nyingi kuwashinda, gari ya maana kenya lazima ukue na tzs.20m kuendelea