Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Ndo zilikuwa sera za Tz kusaidia wanyonge, Magu alipokuja akabadilisha kwa kujali maslahi ya Tz tuu.wewe Western Sahara inakusaidia nn?
Ndo zilikuwa sera za Tz kusaidia wanyonge, Magu alipokuja akabadilisha kwa kujali maslahi ya Tz tuu.wewe Western Sahara inakusaidia nn?
wewe Western Sahara inakusaidia nn? Mtazamo na sera za nchi hubadilika! Kipindi hichi cha ISIS Western Sahara bora ibaki chini ya Morocco!
Ndo zilikuwa sera za Tz kusaidia wanyonge, Magu alipokuja akabadilisha na kujali maslahi ya Tz tuu.
Ila hawa jamaa wanapata watalii wengi sana kwa mwaka, tukituma ndege mara mbili kwa wiki kuwaleta itakuwa pao sana.Mtazamo na sera za nchi hubadilika! Kipindi hicho cha ISIS Western Sahara bora ibaki chini ya Morocco!
Unaonaa eeh yaani Air Tanzania na Morocco airline inahitaji partnership ASAP! Halafu ni wazalishaji wakubwa wa mbolea Africa ukiachakuwa na bandari efficient Africa!Ila hawa jamaa wanapata watalii wengi sana kwa mwaka, tukituma ndege mara mbili kwa wiki kuwaleta itakuwa pao sana.
What does this meanLiving off your neighbor's....
Hizo 60k seaters wamehesabuje kwenye zege za mizunguko!Huo sio uwanja, hilo ni gofu,
Na wakati mnajenga hilo gofu labda tuseme tulikuwa tunajenga it’s equivalent Huko Tabora , Ally hassan Mwinyi stadium - Tabora



Hehe.....it's the ten of us Kenyans on this platform against all of them.How tanganyika is as I know it and it's citizens question nothing is still beyond me.....shockingjust wondering why tanganyikas are very much concerned and like meddling with kenyan affairs. they follow us upto bedroom and bathroom, whereas 90% of kenyans are less concern whats going on down there. most Kenyans don't even know the name of the former late and present president yet. most kenyans don't even know whr darslaam is.. and so on......