Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Huko YouTube hakuna hata vloger mmoja wa tz aliwahi kufanya comparison na hawa watu hata kwa bahati mbaya, ila wao sasa 😂😂😂 wanahaingikia kutu underrate kinoma kila kona, haitoshi hadi vitu vyetu wanaitangazia dunia kwamba ni vipo kwaoHuwa naona hata vi vlogers vya kikenya vikifanya comparison kujifananisha na Tz kwenye comments wakunya utaona wanasema watz ndio tunajilinganisha nao, kumbe ni wao wenyewe..
Yaani Hawa ni machizi, nchi nzima ni machizi,
Wangejua hakuna Mtz ana interest na kunyaland, hata kwa bahati mbaya sijawahi kuonana na mtz anavutiwa na Kunya..
it happens we know them in out the same way we know Uganda, Congo, Rwanda, South Africa, China, US etc.



