Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb wacha uongo mzee, hiyo mikoa ulipita mara tako ya mwisho lini.? 😂😂😂 Hakuna barabara hata moja Tz kwasasa inayounganisha mkoa na mkoa ambayo haiko na lami
Wewe wa mitandaoni hakuna kitu unajua zaidi ya kuambiwa,mtafute yeyote umuulize atakupa ukweli maana hata huwa husafiri mnaishia Dar,mitandaoni labda na Dom.
 
Hii picha imedhihirisha vingi kuhusu Thika road, kumbe ni 6lane road ambapo ukijumlisha na service roads inakuwa 10 lane road at some areas kwasababu hizo service road haziendi mbali, so leo nimegundua kwamba kumbe Thika road ni 6lane road.
Service road ziko kuanzia mwanzo Hadi mwisho
 
This man ate 105 $ billion all alone 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwa ground, mtambo wa buzaa 😆😆😆

 
Wakenya msikubali uhuru astaafu bila kuwaeleza alipopeleka deni la $ billion 105 😂😂😂😂


Nchi yote bado ina njaa lakini yeye anahemea hewani kama kiroba cha dengu 🤣🤣🤣🤣

 
Mbona serikali inashindwa kunyosha njia ili ni tatizo la kipumbavu sana kwanini saerkali inashindwa kuchora mstari mnyoofu kwenye barabara [emoji848]maana hayo maeneo bado ayajajengeka tazama hata hizo njia za vumbi zilivyo pinda pinda kama minyooo
 
Heb wacha uongo mzee, hiyo mikoa ulipita mara tako ya mwisho lini.? [emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna barabara hata moja Tz kwasasa inayounganisha mkoa na mkoa ambayo haiko na lami
China wuyi wanatengeneza barabara from loliondo i think kuelekea longido, lakini barabara ya mpaka mto wa mbu ni vumbi tu
 
Mbona zipo picha za drone kwanini usitazame hizo,,, hapo nionyeshe benk kuu twin tower zilipo kwenye hiyo picha nionyeshe daraja la kigamboni ,nionyeshe daraja la tanzanite, nionyeshe hospitali ya taifa muhimbili ilipo ,nionyeshe kituo kikuu cha brt cha CBD nionyeshe makao makuu ya jeshi yalipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…