Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza lazima uelewe google earth resolution ni up to how many metres ukishajua hilo rudi hapa upewe darsa kidogo.
 
Kisutu mnazi mmoja na gerezani ziko wapi hapo
 
Daresalaam shida moja tu yao ni planning,if those uswazi zingejengwa on straight lines kungekaa poa sana,sasa uko ndani mpaka barabara hazionekani,na zimechanganikiwa!
I wish serikali yenu isiitikishe watu wajenge hivyo county zengine,the uswazi is squeezed and nonstop yani everywhere you turn in dar

Nairobi nayo slums kama kibera si unaona serikali ya Kenya ikitaka kuziapgrade it will be an easy process it is in one place hazijatapakaa kama uswazi za dar,
Huko Tanzania mtaanzia wapi mwache wapi???
Alafu hio BRT yenu ni heri mgejenga express way ambayo basi za mwendo kasi zingepitia hapo pia,sasa alafu design china wanawajengea BRT its too shoddy and inaboo!
 
Haya hii hapa wala sio Google earth, nioneshe markings, over 95% ya roads za Kenya are not marked [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
i concur 100%!
 
Taja mji wowote Kenya nitakuonesha Slums.
 
empty rhetoric as usual.......
 
Asante kwa ku prove kwamba outering road is not marked [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya hii hapa wala sio Google earth, nioneshe markings, over 95% ya roads za Kenya are not marked [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2079710View attachment 2079711
Bongolala, wacha kuteseka na Nairobi, shugulika na Dar is slum. Hii hapa Outering Rd
 
Hapo Ni ndani ya gated estate the essence was a street party mbona watu wasifuate
 
tumewashika leo burukenge nyinyi... kumbe dar ni mji mdogo saana.. i thought it was much bigger than this!..
i swear in the name of god that i can take less than 5mins to count all buildings in dar that stand 10storeys or more.. na dar yote kwisha!.

nairobi yote utahesabu hadi kesho
 
Madajaraja saba pekee kwa jiji la watu milioni sita ni aibu. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Outering road pekee inayo 11 na ni barabara ya 13km pekee.
 
Wacha uwongo those were diversions njia ikijengwa
 
hvi unajua umbali wa hio picha ilipopigea ingekua ni nairobi kwa umbali huo basi
robo tatu ya nairobi ingeonekana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Five mins ama you can see them all in an instance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ