Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiukweli kabisa haya mambo niliya experience enzi za Mkapa nikiwa kijana mdogo kabisa, tangu Mkapa sijawahi kuona hizo mambo, niwe mkweli.
 
Kwahyo hizi ☝️ ndio hizo interchange upo hapa kuzipogia kelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Now let`s do bridges.

1. Mteza Bridge 1.4km
View attachment 2077890
View attachment 2077892

2. Mwache Bridge 600m
View attachment 2077894
View attachment 2077895

3. Makupa Bridge 457m
View attachment 2077897
Hivi vidaraja vyenyewe bado havijakamilika alafu unapiga kelele kuhusu mombasa kuwa na daraja nne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
 
Kwahyo hizi ☝️ ndio hizo interchange upo hapa kuzipogia kelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi vidaraja vyenyewe bado havijakamilika alafu unapiga kelele kuhusu mombasa kuwa na daraja nne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
Nyinyi mbona huwa mnapiga kelele hapa na SGR enye haijakamilika?
 
Nyinyi mbona huwa mnapiga kelele hapa na SGR enye haijakamilika?
Wacha kichaa reli ya SGR ni kitu kilichokamilika πŸ‘‡hivyo vidajara havina hata dalili ya kuisha alafu unataja eti mombasa Iko na daraja nne. DSM kuna Flyover 4 U/C na hutaskia mtanzania akizitaja taja humu eti DSM kuna Flyover 6, hizo interchanges zipo nyingi mnoo hapo Kimara-kibaha high way lakini kwasababu bado zipo kwenye ujenzi hatuwezi taja eti tuko na interchange kiasi fulani.. Acha ubabaifu dogo,usilazimishe vitu visivyokuwepo
 
empty rhetoric
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…