Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Estim ni kampuni ya wahindi
Hata ukilia lkn Estim ni kampuni ya Tz na ndiyo kampuni kubwa ya ujenzi EA.
Screenshot_20220112-155916.jpg
Screenshot_20220112-155908.jpg
 
Estim ni kampuni ya wahindi, kama unapinga ebu leta mtanzania mweusi kwenye list of owners tuone
Kilio chako hakibadilishi ukweli kwamba Estim ni kampuni ya kitanzania ambayo ndiyo kampuni kubwa ya ujenzi East and Central Africa na 90% ya wafanyakazi wake ni Watz, najua unaumia ila vumilia
 
Kilio chako hakibadilishi ukweli kwamba Estim ni kampuni ya kitanzania ambayo ndiyo kampuni kubwa ya ujenzi East and Central Africa na 90% ya wafanyakazi wake ni Watz, najua unaumia ila vumilia
Instead of writing a long paragraph why can`t you just name the owner of Estim na story iishe?😂😂
 
That's 8 lane way the rest are service roads, simple
Inamaanisha hujaelewa hata kitu uliscreenshot?😂😂 The screenshot sai that service roas are roas which run parallel to main roa, so I want you to show me service roads in this image.

1641996101377.png
 
Thika super highway ni noma..cheki hilo underpass..alafu kuna mtu anataka kulinganisha na Kibaha..😂
1641996085410.png

Meanwhile..The Nairobi Expressway,together with the existing Mombasa road will be having a total of 14 lanes..apa ukijaribu kuvuka ni kifo tu ndio una taka...
1641996287517.png
 
Inamaanisha hujaelewa hata kitu uliscreenshot? The screenshot sai that service roas are roas which run parallel to main roa, so I want you to show me service roads in this image.

View attachment 2078327
These are service roads which are parallel to the main road, unless you don't know the meaning of "parallel", na ndiyo maana ukiangalia haziendi mbali zinaishia tu hapo mbele na kufanya Thika road kuwa 8lane road.
Screenshot_20220112-171033.jpg
 
Thika super highway ni noma..cheki hilo underpass..alafu kuna mtu anataka kulinganisha na Kibaha..
View attachment 2078326

Meanwhile..The Nairobi Expressway,together with the existing Mombasa road will be having a total of 14 lanes..apa ukijaribu kuvuka ni kifo tu ndio una taka...
View attachment 2078329
Umewezaje kuhesabu no. of lanes kwa unmarked road? Another kenya unmarked road, Kenya is the father of unmarked and ugly dust roads in East and Central Africa
JamiiForums1290159745.jpg
 
Back
Top Bottom