Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewezaje kuhesabu no. of lanes kwa unmarked road? Another kenya unmarked road, Kenya is the father of unmarked and ugly dust roads in East and Central Africa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078355
Kw akili zako hyo barabara imeisha sio[emoji1787][emoji1787]
Yani unaona kabisa hata katikati bado hapatumiki lkn hapo hapo unataka kujitia utahira

JamiiForums mobile app
 
Kw akili zako hyo barabara imeisha sio[emoji1787][emoji1787]
Yani unaona kabisa hata katikati bado hapatumiki lkn hapo hapo unataka kujitia utahira

JamiiForums mobile app
Nenda umuone daktari kama maumivu yamezidi, nani alikuambia Kenya huwa inakamilisha miradi, hii ndio imetoka hiyo, unaweza kuona gari zinapita bila wasi wasi na hakuna indicators zozote za kuonesha hii road iko under construction [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1290159745.jpg
 
Wewe wakisha kukopa utam huko unaparamia tu watu hovyo hovyo.

Sasa hapo unaleta hoja gani? Kwamba teknolojia ya reli yetu Sio kubwa na ya kisasa zaidi kuliko yenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe!!mzee naona umeanza kuwa mpole, hivi itakuaje waziri mkuu ashindwe kujua km hyo reli yenu haistahili kuisha 2019 bali ilipaswa mpka sasa iwe inajengwa tu...

Ndio manake vichwa vya treni mwaka wa pili sasa havijaingia kumbe teknolojia, basi si mkae mkisema hvo na mapema

Tunapoongelea Tanzanian SGR'S trains huwa tunaongelea units na co vichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nenda umuone daktari kama maumivu yamezidi, nani alikuambia Kenya huwa inakamilisha miradi, hii ndio imetoka hiyo, unaweza kuona gari zinapita bila wasi wasi na hakuna indicators zozote za kuonesha hii road iko under construction [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078374
So kwa akili you wanted vehicles to fly once they reach there? Kweli wewe ni mjinga🤣🤣
 
Tunapoongelea Tanzanian SGR'S trains huwa tunaongelea units na co vichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hzo units ziko wapi mzee[emoji1787][emoji1787]
Mwaka wa pili huu, mabehewa nayo..
We kubali tu ya kwamba ni teknolojia ndio imekwamisha mambo

JamiiForums mobile app
 
Hzo units ziko wapi mzee[emoji1787][emoji1787]
Mwaka wa pili huu, mabehewa nayo..
We kubali tu ya kwamba ni teknolojia ndio imekwamisha mambo

JamiiForums mobile app
Yani tunaongelea units zen unataja mabehewa, ckulaumu cz najua ww ni layman katika issues za bullet trains[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078389
In point three of your screenshot imeandikwa kuwa parallel should not intersect while what you indicated as parallel intersects at so many points. I`m sure that hujaelewa vitu imeandikwa kwa hiyo screenshot🤣🤣
 
In point three of your screenshot imeandikwa kuwa parallel should not intersect while what you indicated as parallel intersects at so many points. I`m sure that hujaelewa vitu imeandikwa kwa hiyo screenshot[emoji1787][emoji1787]
Naona ss ushaelewa, najua nyie ni wazee wa history [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220112-171939.jpg
Screenshot_20220112-171033.jpg
 
Kakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078389
Bado unaendelea kutia aibu mzee, ni bora ukatua..
Nililinyamza uliposema eti zile mbili sijui eti ziko parallel na barabara..
Tena unachokileta unazidi kujiabisha bure..

Nenda ukajifunze kutumia dictionary

JamiiForums mobile app
 
In point three of your screenshot imeandikwa kuwa parallel should not intersect while what you indicated as parallel intersects at so many points. I`m sure that hujaelewa vitu imeandikwa kwa hiyo screenshot[emoji1787][emoji1787]
Mazee, hata anachokileta kinamuumbua lkn bado hajishtukizii maskini...

JamiiForums mobile app
 
Bado unaendelea kutia aibu mzee, ni bora ukatua..
Nililinyamza uliposema eti zile mbili sijui eti ziko parallel na barabara..
Tena unachokileta unazidi kujiabisha bure..

Nenda ukajifunze kutumia dictionary

JamiiForums mobile app
Narudia tena, Thika road ni 8lane road yenye few and shot service roads parallel to it, na ndiyo maana unaona hata hivyo vi service roads haviendi mbali, vinaishia tu hapo mbele [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220112-171033.jpg
 
Back
Top Bottom