Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutii ujinga? Fala hata hajui maaana ya Parallel lakini kamekazana as he is the inventor of the word.
Kwahiyo hizi za juu ndio hazikutani na road nyingine? Hivi unaelewa maana ya parallel?
Screenshot_20220112-174316.jpg
 
Hehehe!!mzee naona umeanza kuwa mpole, hivi itakuaje waziri mkuu ashindwe kujua km hyo reli yenu haistahili kuisha 2019 bali ilipaswa mpka sasa iwe inajengwa tu...

Ndio manake vichwa vya treni mwaka wa pili sasa havijaingia kumbe teknolojia, basi si mkae mkisema hvo na mapema

JamiiForums mobile app
Bibie acha fujo... Kaa Kwa kutulia..

Haya mambo huwezi kuyaelewa Kwa urahisi kama hivi unavyotaka. PM kuongea ni jambo moja na pia Kuna miradi mingi ambayo inatakiwa kwenda sambamba na hii reli.

Ila ukiweza kunionesha mahali mkandarasi alisema reli itakuwa complete hiyo 2019 au any date before this year nioneshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie road ambayo hai intersect na road nyinginep, popote duniani.
Kuna njia nyingi sana za kutengeneza itersection kati ya barabara mbili ambazo ziko parallel bila hzo barabara kuingiliana mzee..eti moja itoke ije intersect alafu irudi vile vile..
Hyo ni big no.ukiona road ya hvo hyo haiwezi kuitwa parallel
20220112_175427.jpg

JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuona mwenyewe few and short service roads parallel to thika road wala haziendi mbali, zimetokea kimtindo zen zikaacha 8lane road pekeake
Screenshot_20220112-171033.jpg
 
Bibie acha fujo... Kaa Kwa kutulia..

Haya mambo huwezi kuyaelewa Kwa urahisi kama hivi unavyotaka. PM kuongea ni jambo moja na pia Kuna miradi mingi ambayo inatakiwa kwenda sambamba na hii reli.

Ila ukiweza kunionesha mahali mkandarasi alisema reli itakuwa complete hiyo 2019 au any date before this year nioneshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo Majaliwa alikurupuka sio

JamiiForums mobile app
 
Thika road is the 8lane road with few and shot service roads parallel to it hata ulie hautabadili hilo View attachment 2078427
Says a person who doesn`t know the meaning of parallel🤣🤣🤣

Thika Road (commonly known as the Thika Superhighway) is an 8-lane controlled-access highway in Kenya, with 12 lanes in some sections. It links the capital city of Nairobi with the industrial town of Thika. The Thika Road forms 50 km of the A2 Highway, which is part of the Cape to Cairo Road. In Kenya, it links Namanga at the Tanzania-Kenya border to the Kenya-Ethiopia border town of Moyale.
 
Kajilipua
Naona unajifanya hujaona place imeandikwa 12 lanes in some sections🤣🤣🤣

Thika Road (commonly known as the Thika Superhighway) is an 8-lane controlled-access highway in Kenya, with 12 lanes in some sections. It links the capital city of Nairobi with the industrial town of Thika. The Thika Road forms 50 km of the A2 Highway, which is part of the Cape to Cairo Road. In Kenya, it links Namanga at the Tanzania-Kenya border to the Kenya-Ethiopia border town of Moyale.
 
Says a person who doesn`t know the meaning of parallel

Thika Road (commonly known as the Thika Superhighway) is an 8-lane controlled-access highway in Kenya, with 12 lanes in some sections. It links the capital city of Nairobi with the industrial town of Thika. The Thika Road forms 50 km of the A2 Highway, which is part of the Cape to Cairo Road. In Kenya, it links Namanga at the Tanzania-Kenya border to the Kenya-Ethiopia border town of Moyale.
Dada komora096 mtu kajiripua huku
 
Naona unajifanya hujaona place imeandikwa 12 lanes in some sections

Thika Road (commonly known as the Thika Superhighway) is an 8-lane controlled-access highway in Kenya, with 12 lanes in some sections. It links the capital city of Nairobi with the industrial town of Thika. The Thika Road forms 50 km of the A2 Highway, which is part of the Cape to Cairo Road. In Kenya, it links Namanga at the Tanzania-Kenya border to the Kenya-Ethiopia border town of Moyale.
In some section ndio hiyo mnahesabu service roads kama cc tuseme Kimara-Kibaha modern highway ni twelve lane road
Screenshot_20220111-000113.jpg
 
Back
Top Bottom