Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeuliza hivi ukiitoa express way ( barabara ya mchina) ni Flyover ipi hapo mjini NAIROBI ni ndefu kuliko Kijazi interchange, ambayo 👇the top level on the Nelson Mandela and Samnujoma roads is 700m long standing at 16.3m highView attachment 2075570yani hii 👇.?View attachment 2075575
Hii flyover imejengwa kwa viwango vya developed countries , kwa Africa ni South Africa au Egypt Ndio level moja
 
20220111_124223.jpg

Middle finger country
 
🤣🤣🤣😂 nchi ya GDP

So cha ajabu ni nini hapo?😂😂, a mere technical hitch tu😂😂😂😂😂😂, mbona uko desperate hivyo, does it change a thing or does it make Tz with few connected to the grid now better with a bigger GDP?🤔😜😂😂😂😂😂😂😂.,
 
So cha ajabu ni nini hapo?😂😂, a mere technical hitch tu😂😂😂😂😂😂, mbona uko desperate hivyo, does it change a thing or does it make Tz with few connected to the grid now better with a now a bigger GDP?🤔😜😂😂😂😂😂😂😂.,
Nakwambia 😂😂😂. These lazy bones will celebrate anything
 
Gari yenyewe inatoa 86 horsepower at 5500 rpms, wakati Mk1 Golf (Volkswagen ya 1970's) yenye engine ndogo kuliko hiyo (Mobius 1) inatoa horsepower karibu sawa at only 3000 rpm. Sasa hiyo ni gari au mkokoteni? Hii takataka ukiipandisha mlima kitonga, cylinder head ita "warp" na engine kuchemsha, safari inaishia hapo hapo.
Hii nyumbu yenu inatoa horsepower ngapi and at how many rpm?
E4AHDfEVoAEHuoM.jpeg
E4AHDfCUcAMamNa.jpeg
E4AHDfLVEAEu2P6.jpeg
 
Bongo ukijaribu protest kama hii, unaweza pigwa kama mbwa. 😂😂😂😂
Wacha kujifanya mko na democracy kijana, juzi Erico alivyoongoza maandamano juu ya upango wake wa play Kenyan music 70% pale bungeni si alipigwa nusu avunjwe mkono.? 😂😂😂
 
Wacha kujifanya mko na democracy kijana, juzi Erico alivyoongoza maandamano juu ya upango wake wa play Kenyan music 70% pale bungeni si alipigwa nusu avunjwe mkono.? 😂😂😂
Kama alipigwa angekua na injuries, have you seen him nursing any injuries? Plus anaplan kuendelea na hizo demo. Hapo bongo hata kujoke kuhusu rais kwa mtandao si utafinywa makende. 😂😂😂😂
 
Kutaka kulinganisha barabara yenye Iko U/C na iliyokamilika sio fea .. subiri Kimara kibaha high way iishe ujionee, high way yenye iko multipurpose. BRT lanes n.k
lakini tayari ile mkondo ambayo kimara/kibaha inachukua niwazi kwamba sio tishio, haina makali ata kwa kukamilika
 
Back
Top Bottom