Hahahaha, huamini kile unachokiona sio?, Huo ndio ukweli lazima ukubaliane nao, Tanzania ni nchi nzuri Sana hapa Africa nzimatz kwa photoshop nimewaachia
tuseme umekasirika sasa 🤣🤣🤣🤣Baada ya miaka ngapi hivi dogo? mtakua hai kweli? kwa hii ugoi goi wenu, mwendo wa konokono 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
haya tuambie hii ni kampuni gani??😂😂Buy Kenya, build Kenya. Kenya police have bought 100 locally assembled vehicles. I guess Tanzania imports everything their security organs use.
View attachment 2075981
View attachment 2075982
Na nyie mjipange reli yetu ikiisha tutaitawala EA and central Africa kibiashara, mana awamu ya pili ya mradi ipo kwenye mazungumzo kupeleka hii reli Congo, Rwanda na Burundi, na si unajua tumeshawarahisishia kazi, Mwanza ni karibu na hizo nchi zote .. Msije tafuta mchawi.. reli yenu nyinyi imeishia mashinani 😂😂🚮.. some of you mnasema ni train to no whereI wish Tz well, may your wishes come to pass dogo, even sooner than expected.
Hiyo ni Mahindra.haya tuambie hii ni kampuni gani??😂😂
Buy Kenya, Build Kenya. Kenya Power has bought 65 locally-assembled Mitsubishi.
Kama huelewi kizungu shauri yako. Kwani those who assembled the vehicles are Tanzanians?Buy Kenya and Mitsubishi
Build and Assembled
Are the meanings of those words one and the same ?
In the same context does it mean Apple is a Chinese Company ? or Nike Indian ?
Let me put it in simple terms. When Kenyans buy locally assembled vehicles, the operation of those companies increases which leads to more hiring of Kenyans and increased payment of tax to the government. That`s the meaning of Buy Kenya, Build Kenya.Buy Kenya and Mitsubishi
Build and Assembled
Are the meanings of those words one and the same ?
In the same context does it mean Apple is a Chinese Company ? or Nike Indian ?
Duh Kazi kweli kweli....Kama huelewi kizungu shauri yako. Kwani those who assembled the vehicles are Tanzanians?
So what`s your point? Umeandika paragraph nzima lakini hakuna sense umemake.Duh Kazi kweli kweli....
Kwahio unadhani wote wanaofanya assembling ya Toyota huko Japan wote ni wa-Japan na hauwezi ukakuta Mkenya au Mtanzania au whichever person from whichever country working on that assembly line ?
Thus a Kenyan brand no matter whereby its created / made its still a Kenyan Brand...., and with corporation they don't have a flag or a country their country is profits for their shareholders..., they set up wherever they can get profit..., and as with this Simba they are the sole distributors of this Car in Kenya just as anyone with big enough pockets can ask for a dealership / representation etc in anyone country....., the mother company will never say no especially if the representative will incur the costs / losses...
You might as well remember its all down to economy of scale if some few African countries would have unite so as to make a market big enough and feasible this giant corporations / companies will be more than happy even to set up company within the market... (it all comes down to economics / market)
Point ni Majibu ya Majibu yako na kama umesahau maswali....rudia kusoma ni rahisi tu....So what`s your point? Umeandika paragraph nzima lakini hakuna sense umemake.
haya tuambie hii ni kampuni gani??![]()
Where did I say that a product being assemble in a certain country is a product of that country?Point ni Majibu ya Majibu yako na kama umesahau maswali....rudia kusoma ni rahisi tu....
Does Assembly Necessarily mean Build; (If I buy and IKEA bed and assembled it at my bedroom does it mean i have Built it)?
Does a product being assembled in a certain vicinity means its the product of where its assembled..., and lastly does it mean all who works for a company / corporation are Nationals of such country which they work?
Just trying to put the facts straight as its the right / duty of any reader / contributor of the conversation so as to end up with facts...