Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Seattle metro ina watu zaidi ya 4M na hiyo $384 billion ni ya Seattle metro. Ni vile huwa tunaambia wenzenu Nairobi City ni ndogo kushinda Dar City but Nairobi metro imeizidi Dar metro wanatuambia eti tunaongezea Nairobi eneo ndio ishindane na Dar. Metro ndio mambo yote.
Hawaelewi metro ni nini Hawa. Nariobi metro for example imefika past kenol, actually pale Makuyu wanaanza kudevelop Makuyu Ridge. Almost 70km from CBD
 
Unafaa uangaike deni za kwenu juu 80% of your total debts ni za nje, kumanisha kukinuka your country has a higher chances of being auctioned compared to Kenya.
Tazania External Debt is Only 18.9 % much lower from 40% distress Line, Total debt to GDP ratio is Only 31% from 55% distress Line

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
a couple of days ago walipewa donation ya maize na Kuwait! Kuwait of all countries, nchi ambayo in jangwa almost 100%, now wanapewa rice donation from China, waangaliwe wasije pews plastic rice. Kenya mnatakiwa muone aibu kwakweli, East Africa biggest economy inapokea food donation its embarrassing kwakweli.
Kati ya kenya na TZ nani anafaa kuona aibu?Nchi yenye Madini,hamna tatizo la ukame..yaaani mko na kila kitu..lakini nyinyi ni miongoni mwa Maskini wa kutupwa Duniani..Yaani wacha tu.Ni laanaa ..ama ni nini...Ndio Maana napenda world bank..wanawapiga Maspanner hadi Mnatiii...
 
Wooiye yaani uchumi wenu unakuwa kwa 5.2% katika robo ya tatu ya mwaka jana wakati uchumi wetu ulikuwa kwa 9.9% katika muda huo huo? Enyewe poleni sana Malazy.
You had negative growth certain quater last year
 
Kati ya kenya na TZ nani anafaa kuona aibu?Nchi yenye Madini,hamna tatizo la ukame..yaaani mko na kila kitu..lakini nyinyi ni miongoni mwa Maskini wa kutupwa Duniani..Yaani wacha tu.Ni laanaa ..ama ni nini...Ndio Maana napenda world bank..wanawapiga Maspanner hadi Mnatiii...
Tungekuwa tunapokea chakula cha msaada wakati ardhi yetu ni fertile, sawa tungeona aibu lakini kitu hiko hakijawahi tokea na kuhusu madini ni below 5% ambayo ndo yanachimbwa! Now turudi kwenye main topic maana mmeshaanza excuses zenu! Rais wenu wakati akihutubia bunge last year alisema Kenya is the sixth richest country in Africa with a GDP above 100 billion dollars! Inanipa wakati mgumu kwa nchi tajiri kupokea misaada ya chakula tena kutoka nchi ambayo ni jangwa, na hii ni Mara ya pili, ya kwanza mzigo uliletwa mpaka ikulu! Inaonekana nyie ni malazy na kuhusu umaskini hata huko kwenu upo tena ni wa kutisha, mnajifanya matajiri wakati wananchi wana hali ngumu.
 
Support your claims with tangible facts...lete report yenye inasema Kenya ni Maskini kuliko TZ..toa tunazingoja apa....

Ghana, Tanzania, Ethiopia and 30 others are on the World Bank's heavily indebted poor countries' list​

Ila we jamaa ni kilaza sana GDP per capital ndio utajiri.? 😂😂 Tena unataka kulinganisha mji wa watu 700k na watu 17m pp, fala kweli wewe.. yani huna aibu unaitaja Shenzhen kwenye sentence moja na Seattle .? Ifike mahala uwe na heshima hata robo, leo iwe mara yako ya mwisho, usirudie tena
Sometimes it is wise to just shut up man, this reasoning is soo embarrassing, did u try to understand the meaning of what was written? uko ovyo sana dogo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
We should work hard safari ni ndefu
Not really, it can happen soon, see 👇 how china changed in merely one generation, kuna sehemu they show muonekano wa a certain city in 80s no vehicles ni bicycle na mikokoteni.., then today its a bustling metropolis.., poverty reduced significantly.., some place in just five years kumebadilika exponentially based on an eye witness.., (exposing propaganda vs reality)., many view china through the lense of western media and political rhetoric..,
Watch this clip ukipata wakati, download it in your computer u watch it when relaxed..,
 
donation nchi ya GDP 😂😂😂😂

Uliona sehemu eti Kenya imewaomba msaada wa chakula dogo? 😂 😂 ama ni kwa hiari ya China playing diplomatic card and PR, warming its way and endearing itself to Kenyan govt., strategic move to win more of Kenya against their rival USA.., wewe na hizi fikra zako finyu haupati picha ng'o 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
a couple of days ago walipewa donation ya maize na Kuwait! Kuwait of all countries, nchi ambayo in jangwa almost 100%, now wanapewa rice donation from China, waangaliwe wasije pews plastic rice. Kenya mnatakiwa muone aibu kwakweli, East Africa biggest economy inapokea food donation its embarrassing kwakweli.
Bila shaka kwenye ile top 10 ya nchi zenye gdp kubwa kenya ndio nchi pekee inayoishi kwa misaada ya chakula
 
Uliona sehemu eti Kenya imewaomba msaada wa chakula dogo? 😂 😂 ama ni kwa hiari ya China playing diplomatic card and PR, warming its way and endearing itself to Kenyan govt., strategic move to win more of Kenya against their rival USA.., wewe na hizi fikra zako finyu haupati picha ng'o 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kama ni diplomatic card inamaanisha ndio kitu ambacho mmelack na scouts wao wamewashauri wawasaidie msife njaa
 
Kama ni diplomatic card inamaanisha ndio kitu ambacho mmelack na scouts wao wamewashauri wawasaidie msife njaa
Hamna nchi inayoielewa Kenya vizuri kama China, wao ndio wanaowapa mkopo mkubwa kuliko nchi yoyote duniani kwahiyo anavyoamua atoe nini haamui holela bali analenga tatizo moja kwa zote 😂😂😂😂😂

Mchina kaona tatizo ni njaa sio mikopo sababu kama ni mikopo amewapa pomoni lakini njaa bado imedinda 🤣🤣🤣🤣
 
Wakenya kaeni na mchina vizuri sababu hawapi mnachotaka bali mnachostahili, mchina hataki longolongo kaamua kutokomeza njaa 😂😂😂😂😂😂

Hapumbazwi na GDP aisee 🙈
 
Kenya has changed tremendously under Uhuru Mwigai wa Kenyatta.., the guy has completed many projects, (Kipevu Oil jetty, expansion of kisumu port and oil jetty, Lamu port; all three baths, Outering road, SGR phase 1 and 2, also 90% complete roads: Mombasa dongo kundu phase two with interchanges, Nairobi expressway, Kisumu mamboleo road, with flyovers.,

Ata kama wakenya wengi walikua wanachukia kamwana, am sure for now some are appreciating ama will appreciate later..,

Outering
1641561918705.png

1641562028195.png

RedHill Link road
1641564236293.png

Nairobi Expressway (under construction)
1641562259549.png

1641562334171.png

1641562431520.png

Kisumu Mamboleo road (under construction)
1641562524225.png

1641562554076.png

1641562599400.png

Mombasa Changamwe (under construction)
1641562905813.png

1641563670309.png

List more of Uhuru's U/C or completed projects...., (like Kenol marua road.., etc)

2022 my focus ni development progress..,
 
Kama ni diplomatic card inamaanisha ndio kitu ambacho mmelack na scouts wao wamewashauri wawasaidie msife njaa
focus ni covid19.., those affected economically.., mbona mnatamani sana fikra zenu potovu ziwe ukweli ikija ni Kenya? wivu na chuki havitawasaidia., jikubali mlipo., despite challenges zetu, we are above you, hii ndio maumivu kwa wengi wenu.., mnajaribu kulazimisha any negative news ionekane jambo kubwa ili Tz ionekane lakini wapi.., relax, your opinions wo't change the truth 🤞 🤞 😂 😂 😂 😂 💪
 
Asante China kwa kutuunga mkono Tanzanian hardworkers, tumekua tukiyalisha haya mazezeta for decades aisee, ni mafukara lakini majeuri pia so tegemea matusi badala ya shukrani ila ulichowafanyia kwenye SGR sio poa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom