Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunalipa kodi za nini kama serikali haiwezi kusambaza umeme?
 
Tunalipa kodi za nini kama serikali haiwezi kusambaza umeme?

hili suala la umeme ni sawa [emoji817] na lile la elimu bure.. si ajabu nikisikia wakisema elimu bure haiwezekani...twende na uhalisia!.... chaki bure, sijui peni za walimu bure sijui nn bure haiwezekani (same thing wanavyosema upewe nguzo bure, waya bure haiwezekani)
najua elimu bure kuna mikopo kutoka nje ndo inayoendesha, sasa inashindikana nn kupata mkopo/budget kwenye ishu ya umeme za kununua nguzo etc
 
Sasa jamani elfu kumi na mbili ndio mnapiga kelele hvo, yani mpka wengine wamekata tamaa kabisa[emoji1787][emoji1787]
Alafu utamskia mtu tanzania watu wako vizuri kimsidha kumbe ushibwada mtupu
 
next cabinet reshuffle..
nitakuwa attention kwa majina ya Majaliwa na Nape.. [emoji2299][emoji102]
upo sahihi ila tusiwe shua sana,
lazima mama akitaka kusonga aishi na watu wenye madudu,

usimsahau ndungai
 
Mbona wewe ni boya hujisemi
sikuwahi kumkashifu mama ila kama unaakili ndogo inabidi ujiongezs sana kifikra kwa kila kinachoendelea sasa na hata baadaye

la sivyo unajichoresha tu hapa na utaendelea kuonekana bogas,hapo hatupo kwaajili ya kusifia pekee huwa tunachambua negative na positive,usipende kupoteza mda for nothing
 
bro tuendelee kuenjoy,
ipo hivi hofu,kutojiamini kwa ukusanyaji wa mapato rasmi ndiyo tatizo,

vingi tu vitatokea ndiyo maana tozo za miamala ikaingilia kati kirahisi tu
 
Hatuna Rais tuko kwenye kipindi cha mpito
kabisa,tuwe wazi
na chakuchekesha unaweza kustaajabu ya mussa ikija report ya mapato ya kipindi chake ukaambiwa kuna upungufu sana wa matumizi ya pesa kiholela kuliko awamu zote au iljyopita[emoji38][emoji38][emoji38]

tuendelee kuenjoy ,maana mama anaiharibia gender yake na wasije kutegemea kushika nyadhifa nyeti siku zijazo
 
Soma kitabu cha John Perkins, Confessions of an Economic Hit Man (2004).
This is another level of pettiness. Do you think I would read a 250-page autobiography to get an answer that you can simply just write in a single sentence? Telling me to read a book doesn't make you clever, lad. Just answer my question. What do you mean by "she is an economic hit woman?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…