chengdu cityChicago city...
Nmependa ilivyo well planned na green spaces...well developed View attachment 2065893View attachment 2065894View attachment 2065895View attachment 2065896View attachment 2065897
I hope you have got new thing in your life, that is the purpose of this forum, to learn new things from others, welcome again [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arguing with you is a waste of time. I'd rather debate a fly.[emoji706][emoji706]
Unaweza ukawa na mali na bado usiwe na maendeleo usichanganye habari.Alafu zaidi ya hayo, population ya China ni mara nne ya US. Yani wewe una mali kuliko mandugu wanne combined alafu bado walinganishwe nawe. Watu wengine ni wa kupuuza tu.
Naona hapa ulitaka kumjibu Teargas lkn kwasababu mnaogopana ukashindwa kumquote na kumwambia ukweli, umebaki kurusha jiwe gizani, ok litampata alafu naye nadhani atarusha jiwe lake angani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa ndugu zako sijui huwa mnaelewana aje nao hapo Dar. Yani mtu akiona shiny buildings baas....hapo anaona utajiri. Hivi mnafundishwa about human development index? Quality of life? Access to basic and luxury facilities? Yani wait wanaangalia miji kutoka juu wanaona nchi imeendelea. The cities with the highest quality of life in the world ziko Europe. Most of these cities in Europe look old because they've banned construction of tall skyscrapers to maintain their ancient architecture. Naongelea cities kama Vienna, Zurich, Munich, Geneva, Copenhagen n.k ambazo ziko na highest standards of living wakati ukiziangalia kutoka juu zinakaa miji ya miaka ya 1500AD kurudi nyuma yet they have higher quality of lives than shiny modern looking cities such as Shanghai, Shenzen or even Dubai. Ndio maana Walker255 alikuwa anajaribu kuelezea mwengine hapa kwamba hawezi linganisha Mwanza na Mombasa old town akatoboa.
Hapa nakupa picha ya Vienna - utapata mwendazimu anakwambia eti sijui Chengdu ama Suzhou imeendelea kushinda Vienna.
View attachment 2065816
View attachment 2065817
View attachment 2065818
Teargas umepewa vidonge vyako live[emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I actually find older cities such as Paris more beautiful than monstrous concrete jungles such as Dubai. From the air, the modern ones might look better but on ground, new cities have better NMT infrastructure and are created more for living than business and showing of might. If you travel to Europe, you'll find most cities have numerous narrow cobblestone streets just created for pedestrians with several squares and beautiful external restaurants. Very beautiful. Like here in Budapest.
View attachment 2065829
View attachment 2065830
View attachment 2065831
Umevamia pasipo kuelewa, hapa hatuongelei mji gani ni wa juzi na upi ni wazamani, tunaongelea level of development between one city and another, oldness ya city haijalishi kwasababu hawajaambiwa wasijenge mji mpya.Majamaa bana[emoji1787][emoji1787], yani chicago ndio mkailinganishe na kamji ka juzi..
Yani mji ambao uchumi upo imara tangia jadi wewe unakuja kuulinganisha na mji ambao unakua sai..
Alafu jamaa kauluza swali zuri sana, dar imeizidi zurich[emoji1787][emoji1787]
Teargas una lolote la kuongeza, unapigwa pini kudadadeki, ukome kuropoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]There's no city in China that can compare with Chicago, even Shanghai, Beijing, Hong Kong and Shenzen (which are the 4 most developed cities in China) still have catching up to do. In Asia, the only cities that one can dare compare with Chicago are Tokyo, Seoul and Singapore.....and when I talk about development I mean:-
1. Job opportunities
2. Quality of the jobs
3. Walkability
4. Safety
5. Public transport
6. Private transport
7. Walkability
8. Housing
9. Health and quality of hospitals
10. Average earnings relative to cost of living
11. Entertainment joints
12. Sanitation and sanitation infrastructure
13. Education and quality education
Usiniletee hapa skylines to make a point.
Naona Chicago inajitutumua, ngoja tusubiri sama boy atajibu nn kutoka Chengdu.Suburbs Chicago View attachment 2065838View attachment 2065839View attachment 2065840View attachment 2065841View attachment 2065843View attachment 2065842View attachment 2065844View attachment 2065845View attachment 2065847View attachment 2065849View attachment 2065851View attachment 2065852View attachment 2065854View attachment 2065856View attachment 2065857
Umemjibu vizuri sana mkenya mwenzako, Asante sana kwa kunisaidia[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Gdp is the muscle, strength, ability or the influence of a country, whereas Gdp per capita is the level of living standards or the well being of citizens in a given country. take France and Luxembourg as examples
Wewe umeweka stadium iko wapi pumbavu mbwa jike wewe.Jinga wewe kuna tofauti ya stadium na pitch
Wewe ukona mchezo sana, Chicago is an alpha city ligi yake ni akina Hongkong au Shangai according to global city ranking. Chengdu is not even a tier 1 city in China. Any one who trades the Financial Market akikuskia ukitaja Chengdu kwa the same sentence na Chicago anaweza kupiga makofi moto moto. 😂😂😂😂Kwa vitu ulivyotaja hapo heb nitajie chochote ambacho unahisi Chicago yupo juu ya Chengdu nikutie aibu, achana na domo domo, vitu vyote unataja hapo ni vitu vinavyoonekana .. story za maneno matupu china alishazikimesha kitambo tu .. haya twende kazi
[emoji23][emoji23][emoji23]Mm na wamarekani wenzangu hatupendi sema basi tu, na ndiyo maana unaona tunaona hata uvivu kujibu mana tulishajengwa kisaikolojia tangu tukiwa wadogo kwamba US ni noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I agree with youHawa ndugu zako sijui huwa mnaelewana aje nao hapo Dar. Yani mtu akiona shiny buildings baas....hapo anaona utajiri. Hivi mnafundishwa about human development index? Quality of life? Access to basic and luxury facilities? Yani wait wanaangalia miji kutoka juu wanaona nchi imeendelea. The cities with the highest quality of life in the world ziko Europe. Most of these cities in Europe look old because they've banned construction of tall skyscrapers to maintain their ancient architecture. Naongelea cities kama Vienna, Zurich, Munich, Geneva, Copenhagen n.k ambazo ziko na highest standards of living wakati ukiziangalia kutoka juu zinakaa miji ya miaka ya 1500AD kurudi nyuma yet they have higher quality of lives than shiny modern looking cities such as Shanghai, Shenzen or even Dubai. Ndio maana Walker255 alikuwa anajaribu kuelezea mwengine hapa kwamba hawezi linganisha Mwanza na Mombasa old town akatoboa.
Hapa nakupa picha ya Vienna - utapata mwendazimu anakwambia eti sijui Chengdu ama Suzhou imeendelea kushinda Vienna.
View attachment 2065816
View attachment 2065817
View attachment 2065818
Kenya still shit on your heads.