Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nafikiri US iendelee kushikilia pale pale kwenye GDP but not on ground [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bro hii Chengdu ni mji ambao upo ndani ya province inaitwa Sichuan ambapo ndani ya Sichuan kuna mji mwengine unaitwa Chongqing, hiyo kwa high-rises mbona ni New York .. Chongqing City👇 . Yani kwa kifupi US atafute tu wakubishana nae kuhusu maendeleo ila sio China.. and guess what bro, Chengdu ni mji wa 9 kiuchumi na Chongqing ni mji wa saba kiuchumi.. yani miji ya US ambayo inaweza angalau kuleta ushindani na miji ya china, haizid miji mitano .. China ni balaa bro
 
Huwezi kulinganisha Gni au per capital income bila kulinganisha PPP, hiyo $9000 ya Mchina inaweza kuizidi hiyo ya $50000 ya Wamarekani katika nguvu ya kununua bidhaa na huduma.
PPP ni hewa ndugu yangu. Nominal ndio kila kitu. yani kama pesa taslimu ndani ya mfuko kwa wakati huo huo
 
China kuhusu majiji tu, na kesi ya skyline, haina mpinzani .. Taijing City 👇chinese Manhattan .. Bro The best 007 njoo uone china walivyo wajeuri wameamua kuijenga New York kwao 😂😂😂, hii yujiapu financial district inapatikana ndani ya Taijing City 👇bro Tony254 pitia hapa uone vile US inalazwa chali na China. Jamaa wako na ujeuri wa kujenga the most vibrant financial district of New York, back home 😂😂😂.. wenyewe wanasema China wako na entire world in their country
 
Yaani huyu mchina acha tu atukopeshe mikopo ya kipuuzi. Yaani huyu ni mwehu.
 
Hii sasa sifa. Huyu mchina ni balaa.
 

Hayo yote mnataja Miji ya katikati mwa China au Magharibi. Guseni Upande wa Mashariki ambao ndio mioyo ya China inadunda mshangae vizuri[emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…