Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿšฎ Kuna kuongea na kujamba, hapa umejamba
Nilichogundua katika interactions zangu na watanzania wengi ni kuwa asilimia ya kutisha ya watanzania wako misinformed Na pia hawana awareness ya kutosha ya mambo mengi ya dunia na ulimwengu Kwa ujumla.

Itโ€™s not my fault that you wonโ€™t accept the truth. Hivyo nitukane uwezavyo, lakini ukweli umeshaujua.
 
Lord, please grant me humility to deal with ignorant people. Amen.



Kwa hiyo argument yako nzima ni majengo?
 

Sio Kenya yote, Yaani GDP ya DPRK ni ndogo Mara Tano ya Kenya. Na ni ndogo kuliko GDP ya Nairobi. Jionee tofauti[emoji1787]
 
Ungekuwa Una ufahamu wa kutosha wa suala hili usingeleta picha za majengo na nuclear warheads. GDP ni thamani ya goods and services produced in a country over a year. Jiulize North Korea inazalisha goods na services zipi na ina-export wapi? Na trade partners wa North Korea ni Akina nani? Na foreign investments North Korea ni zipi (if they even exist) then utagundua kuwa uchumi wao ni mdogo sana. Hizi picha hazimaanishi kitu chochote. Ni facade tu! Tafadhali elimika!
 
I have realized that most of these people don't even know the meaning of the word GDP itself. Kazi ni kuongea tu pasi na uelewa. They are ignorant about parameters used in calculating GDP. Wao wakishaona majengo marefu baas! Ignorance is such a bad thing!
 
Mzee wewe ndio upo misinformed, huna research za kutosha kutetea jambo unaling'ang'azia .. for example this is chengdu ๐Ÿ‘‡hii CHENGDU sio hata miongoni mwa majiji tajiri ya China, it has population of of 10m+ pp, kwa US labda uiweke Chicago mji wa pili kwa kuwa na high rises nyingi the city of 2.7m pp, lakini pia Chicago haiwez toboa kwa CHENGDU. US is no where close to China bro tukizungumza maendeleo .. fatilia mambo bro Ooh, dunia inakuacha lala tu hapo ukiendelea kuwaza eti marekani wapo vizur kuliko China ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.. NB: achana na western propaganda mzee
 
Mzee Acha kuwa mpumbavu wewe jamaa pitia hii ๐Ÿ‘‡tukianzia hapa โ˜๏ธkwenye suala la GDP kwanza , we unafkiri kenya anamzidi wapi hapo NK .? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ila wewe ni fala sana wewe
 
Acha kuwa mpumbavu kwa wewe hapa ๐Ÿ‘‡heb nieleze nini mnaizidi korea.?
 
Lord, please grant me humility to deal with ignorant people. Amen.
View attachment 2064238


Kwa hiyo argument yako nzima ni majengo?
Sidhani kama zile videos uliziangalia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ we jamaa haupo vizuri upstairs, kwahyo wew umeona majengo tu.? Ni kikuuliza what is development utakuja na majibu yapi.? .. heb ngoja kidogo pitia hizi videos uangalie kimeelezwa kila kitu kuhusu maendeleo humu ๐Ÿ‘‡chines e unknown Cities . . Chinese copycat cities ๐Ÿ‘‡ . .. naomba uje na majibu, kama kila kilichotajwa hapo kwa hizo videos sio maendeleo, then what is the meaning of development .? Ulihudhuria darasani kweli wewe.? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Tz iko na vilaza hii ..
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Ila wakenya ukiwa against na upuuzi wao tu, unakua ignorant ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, acha kuwa mpumbavu wewe .. hata roads markings ni indicator of development, sio majengo tu, tunabishana hapa kila siku kuhusu skyline ya NAIROBI vs DAR .? Barabara na reli je.? Apartments je.? au umesahau juzi tu wewe ulileta mada ya NMT Kati ya chuga na Kipoison .? Those are indicators of development, na ndio maana tunajadili hapa .. and kwa those aspects NK yupo vizuri ukilinganisha na nyinyi mnakopa/muingie mikataba ya hovyo ili muanze kujenga hivyo vitu now, fala wewe ..
 
Goods and services produced : Cement, Construction materials, Labor iliyotumika wakati wa ujenzi majengo na infrastructure zote hizo, Hazina impact kwenye GDP? Kuna Nchi GDP yao inabebwa na ujenzi , leo hii mnachukulia ujenzi poa [emoji1787]Mbona mnachagua vinavyowafaa [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ