Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Of late Walker 255 has joined them too. People who don't shy away from speaking the truth, however much it hurts their countrymen. Big ups to the three of them
Nanyi lini mtawaiga wao, mbona ninyi ni misukule ya uhuru anawaibia mnakufa njaa anafake data lakini hamna mmoja wenu anaekosoa?
big up, Walker255, u are more than welcome here bruh!.
 
Wewe nawe uwaga unakurupuka tu bila ya kushirikisha ubongo. Nigeria ina GDP ya $450b
South Africa ni $300b
Tofauti ni 150b
Kati ya South Africa na Nigeria ni nchi gani imeendelea ?
Kwahyo kati ya tz na ke ni nani ameendelea zaidi?hapo wewe ndio umekurupuka kwanza,
South africa imeendelea zaidi kwasababu kwa pop yake gdp per capita inasoma $6000 while nigeria ni $2000 , lakini vipi ya tz inasoma ngap nikumbushe vs ke
 
Sawa bongolala. Ila haitabadilisha ukweli kwamba hata Tanzania yenye uchumi kubwa kuliko North Korea ni nchi ya tatu kwa ufukara hapa Afrika
Tanzania iwe na uchumi mkubwa kuliko North Korea inayotengeneza almost kila kitu yenyewe? 🤣🤣🤣

Ni Kenya na Uganda ndio zenye uchumi mkubwa kuliko North Korea, idiot
 
Tunaweza kuamua kupaisha GDP ili tuvute mikopo mingi ya wazungu wakenya wanavyofanya, but kwa ground mambo hujieleza..
Morocco ina GDP ya $110b na Kenya nao wanadai wana gdp ya $105b
Tofauti kwa ground ni kuwa Kenya ni nchi ya ulimwengu wa tatu na Morocco ni ulimwengu wa kwanza.
Think kaka, think .
Zingatia GDP vs pop kwanza,morocco ni ulimwengu wa tatu kama kenya usipotoshe
 
Eti mtu anatype kabisa Tz GDP ni $65b tangu 2015 tupo hapo hapo kwenye 60s, nchi inajenga miundombinu mikubwa na ya gharama lkn GDP iko hapo hapo haipandi, ni kichaa pekee atakubali ujinga huu.
Mwaka 2015 GDP ilikua haijafika $50B
 
Mtu anakwambia Dar - Morogoro ni 500km. Yani 189km imekuwa 500km. Tangu lini Bongolala ikajenga 500km of SGR?🤣🤣
naomba nikusaidie 😂😂👇👇
dar moro 300km financed by gvt
moro to makutopora singida 422km= 1.4 loan and 0.5 gvt
mwanza to isaka 341km= 1.3b gvt of tanzania
makutopora to tabor= 380km hijjulikana bado nani anatoa pesa

usiopoelewa hapo kanywe changaa utaelewa
 
Mtu anakwambia Dar - Morogoro ni 500km. Yani 189km imekuwa 500km. Tangu lini Bongolala ikajenga 500km of SGR?
Reli inajengwa kutoka dar hadi Mwanza,nikusahihishe kutoka dar hadi Makutopora ya Singida ni 742km kwa njia ya reli...njia kuu hazipungui 500km,pia mkandarasi ameanza ujenzi wa njia ya reli kutoka Mwanza kwenda Isaka zaidi ya 300km...Tatizo mnatuchukulia Poa sana...kuna mambo tunayafanya ninyi mmeyashindwa !!....Na juzi TRC wamesign tena mradi kujenga zaidi ya 300km zingine kuunganisha makutopota na Tabora....Line nzima hadi mwanza ni 1200km hadi mda huu kimebaki kipande kidogo cha kutoka Tabora kwenda Isaka cha chini ya 200km.
 
Kwamba nchi ya tatu kwa ufukara lkn inawalisha.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn inajenga miundombinu ya gharama kubwa na ya kisasa kuliko nchi yoyote East and Central Africa.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn inategemea kuwawashia taa kwa kuwauzia umeme kwa zaidi ya asilimia 80%.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn ina infrastructures ambazo hamjawahi kuota kuwa nazo.

Nchi ya tatu kwa ufukara lkn wananchi wake hawafi kwa njaa
Tanzania doesn't feed Kenya you dickhead! Tunanunua mahindi Kutoka kwenu, hamtupatii bure. We can choose to buy from any country in the world but we choose to buy from you because you are our neighbours (as much as you are stupid and jealous). Tumewahi nunua mahindi from as far as Mexico wewe kilaza. Umewahisikia Mexicans wakisema wanatulisha?

Hebu taja hizo miradi kubwa na ya kisasa ambazo mmejenga na watu wengine hawana.

Mnategemea kutuuzia umeme? 😂 😂 Bongolala, Kenya is already producing enough electricity to cater for her own electricity needs, hadi tukabakisha surplus. And just to remind you in case you forgot, tunazalisha na kutumia umeme nyingi kuwaliko.

Again, hebu taja hizo infrastructure ziko Tanganyika that we only dream to have. Ama ziko tu akilini?

Wananchi wenu hawangekuwa wanakufa njaa hamngevamia mitaa na barabara za miji zetu na bakuli mikononi kama nzige
 
Inawezekana wewe unavigezo vyako unavyovifaham ila ivyo ndio vinavyotumika na wataalamu wa uchumi duniani
Hawa ndugu zako wanajua kuna kitu kinaitwa watalaamu kweli? Bora umwache tu aendelee kuamini anavyotaka
 
Back
Top Bottom