fifth sio loan ni gvtHii ni contract nyingine Acha kubishia vitu usivyovijua .. reli yetu iko na 4 phases U/C, 1st phase ni serikali ndio ime finance, 2nd phase loan+gvt, 5th phase ni loan na 3rd phase ni loan pekee (hii ndio imekuwa signed juzi) .. acha kulazimisha mambo dadaangu
Kama ambavyo Jommo Kenyatta alivyowauwa maelfu ya wapinzani wake, Tom Mboya na PioGama Pinto na Moi alivyowauwa wagala na Robert Aoko [emoji23][emoji23][emoji23]*****!!muuwaji jiwe alifikiria yeye ataishi milele
Nawasikitikia sana wale waliotiwa virobani na kutupwa vichakani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ambavyo Jommo Kenyatta alivyowauwa maelfu ya wapinzani wake, Tom Mboya na PioGama Pinto na Moi alivyowauwa wagala na Robert Aoko [emoji23][emoji23][emoji23]
@Tony254
Speech yote ni hii hapa, onyesha wapi amesema atakopa toka Uturuki, kawaida yenu Kenya kudanganyaBongolala, you should b able to read and understand, sip kupayuka tu. Rais wenu amesema atakopa pesa Kutoka uturuki, wewe bado unakwamilia story ya Standard chartered, loan ambayo mlishapewa tiyari kufikisha reli porini. Soma hii taarif ujue Rais wako anaongelea nini kabla ya kutoa povu
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm
Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.www.reuters.com
This is a contract that was signed two days ago
Hapo huoni kabisa hilo jengo watu walipiga na wala halikumalizwa, mambo mengine hayaingii akilini kabisa..@Tony254
Mama na unafiki ni vitu viwili tofauti kabisaKwaya imekuwa ikiimbwa hapa hizi miaka zote ni gani? Umesahau "pesa zetu za ndani"? Loan itakuwaje pesa yenu? Mama kaamua kumwaga mtama [emoji23]
Unakumbuka iphone waliposema ya kwamba hawajauza simu bongo na wakati kwenu zimezagaa unyama[emoji1787]sijui toleo gani lileUko kwao ni dampo la masimu ya hovyo na nguo za mitumba [emoji23][emoji23][emoji23]
Vibaka mpka leo dar simu wanaiba na zinatumika freshy tu mzee..Time travellers [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana wa Tandale, I have clearly stated that this loan agreement was signed two days ago meaning it's for the fourth phase. Jaribuni kusoma kitu watu wanaandika muelewa wanachosema. Sio kuja hapa na povu na feelings pasi na eulewaHii ni contract nyingine Acha kubishia vitu usivyovijua .. reli yetu iko na 4 phases U/C, 1st phase ni serikali ndio ime finance, 2nd phase loan+gvt, 5th phase ni loan na 3rd phase ni loan pekee (hii ndio imekuwa signed juzi) .. acha kulazimisha mambo dadaangu
Bongolala ni nchi ya kushikia wivu jamani? Tukiwakumbusha tu kwamba miradi yenu ni ya mikopo mbali na mnavyosema ni pesa zenu hiyo ni wivu?[emoji23][emoji23]ase.. contract tu povu kubwa hiv? mzigo ukianza kutembea si utajinyonga kwa kushikwa na uchungu wa wivu
'kenya is a land of large open spaces' ludwig krapf 1848 View attachment 2062002
Huyu Mama ako na mawazo tofauti sana mbali na mwendazake. Hata corona aliwaambia ukweli ikabidi vilaza waache ujinga wa kutumia concortions wakumbatie sayansi.Mama na unafiki ni vitu viwili tofauti kabisa
Imagine hawa ni watu wazima na wako hivi....Na je watoto..mafikira zao ziko aje?Huyu Mama ako na mawazo tofauti sana mbali na mwendazake. Hata corona aliwaambia ukweli ikabidi vilaza waache ujinga wa kutumia concortions wakumbatie sayansi.
Ndio hawa vilaza akina Joto la Jiwe, Ichoboy, The best007, Venus Star na wengineo kabla ya Mama kuwatoa ujinga
View attachment 2062658View attachment 2062660View attachment 2062661
*****!!muuwaji jiwe alifikiria yeye ataishi milele
Are you using that video to dispute the fact that Yapi Merkezie and your government signed a loan agreement two days ago?Speech yote ni hii hapa, onyesha wapi amesema atakopa toka Uturuki, kawaida yenu Kenya kudanganya
Kama kuna mtu alijua kucheza na akili ya watanzania ni Magufuli. The dude made them believe that Tanzania haina corona while at the same time encouraging them to use traditional medicine to stay safe. Safe from what when he made them believe kwao hakuna corona?Imagine hawa ni watu wazima na wako hivi....Na je watoto..mafikira zao ziko aje?
View attachment 2062013
Nchi za kipumbavu zinaita hii SGR huku kwetu ipo zaidi ya miaka 40 na inaitwa MG
Hii aina ya democrasia nimeipenda maana ndani yake kuna kuvunjana macho na miguu.View attachment 2062012
The most democratic country in East and Central Africa.😂😂😂😂