Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mboso nae alikua mombasa juzi akikusanya pesa zao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Amekimbia ufukara wa Tanzania ameenda ku omba omba Mombasa kupitia kipaji chake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, tofauti yake na wale omba omba wenu walioko Nairobi wanao tumbuiza wapita njia kwa guiter na kupiga ngoma ni kidogo sana, yeye anaenda kwa vilabu ambayo watu wanalipa ili kumuondolea ufukara wa ukoo akirudi Tz awachane na mihogo na maharage, angalau asiwe na utapia mlo inayo sababisha slow brain growth matokeo ni vilaza kila kona๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., Mnakaribishwa nyote mje mtengeneze hela ndefu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watanzania ni watu wajinga sana. Sasa vitu zinlianza kufanyika Kenya 1990 ndio unaringa nayo? All Kenyan matatus has lED lights on them.
Wewe ndo mjinga kulinganisha unreliable, chaotic na unsafe transport system a.k.a matatu na Brt ambayo na safe, reliable,free from chaos, sometimes uwe unatumia ubongo uki comment sio ushabik wa kimandazi!
 
Wee jamaa maneno mengi yasio na maana ukunya kazi kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wee jamaa maneno mengi yasio na maana ukunya kazi kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Maneno yamegonga ndipo,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
NairobiWalker ulisema wakenya wanapiga pesa nyingi SA kuliko Watanzania, nikakulabua na fact ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ exports to ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ni 700$ million wakati ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช exports to ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ni 34$ million

Leo nimekujia na habari njema nyingine ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ to ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ

Note ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ exports to ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ni 160$ million balance of trade favored ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ndio maana Kenya ni nothing kwetu

Soon ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ exports to ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ inakua 2$B

 
Dah umeongea kitoto sn aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona mnapendanga uongo?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kama your total avocado export to the whole world was $8.5M, sasa hiyo $700M to south Africa and $160M to Kenya imetoka wapi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ