Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

100%, ukiangalia uchumi wa China kwa miaka 20 iliyopita utaona umeongezeka haraka sana kuanzia 2005, hii ikiwa ni sambamba na kasi ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji.
 
so pictures from open sources and paid license are supposed to be different? Ama mimi ndio sikuelewi?
 
Usitaje rais wetu eti Mlevi tafadhali.. Kumbuka ile siku niliongea mbaya kuhusu SSH, ile vita nilipigwa hapa!😱 whooih!. Infact niliponea chupuchupu, JF ningetolewa milele, though hio msg ilivutwa haraka tena sana na ma Admins.
Mbona sasa unaongea mbaya kuhusu rais Kenyatta, na una expect to go scot free. Unless baci ma admin wa JF wako na ubaguzi
 
Watanzania ni watu wajinga sana. Sasa vitu zinlianza kufanyika Kenya 1990 ndio unaringa nayo? All Kenyan matatus has lED lights on them.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hapo hatuizungumzii tu LED lights mzee, hapo kitu kikubwa ni BRT buses mzee, yani kuna uulaya flani hiv unaonekana hapo.. huwezi kabisa linganisha hizi vitu viwili utapata dhambi πŸ˜‚πŸ˜‚ ona mabasi yenu πŸ‘‡vs Tz πŸ‘‡we huoni aibu kutaka kufanananisha third world country's transit na world class public buses.?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mtu yeyote atakayepinga ukweli huu lazima atakuwa chizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…